Hili tatizo haliishi

Hili tatizo haliishi

Muambie mkeo alale na mtu mwingine halafu aangalie kama huyo mtu dealz zake zitakwama, then ndo tu-conclude. Otherwise, ungeenda muhimbili, unaweza kuwa na matatizo ya akili and u ar starting to see stuff!

LOl! humtakii mema hata kidogo
 
anza na kiongozi wako wa dini...mueleze hayo....
keshasema mtu wa deal sasa hapo kuna UWALAKINI hata habari ya dini sijui ka itakuepo,sina maana kwamba watu wa dili wote sio wacha Mungu,ila kwa dunia ya leo mambo yapo wazi.
 
Back
Top Bottom