Muambie mkeo alale na mtu mwingine halafu aangalie kama huyo mtu dealz zake zitakwama, then ndo tu-conclude. Otherwise, ungeenda muhimbili, unaweza kuwa na matatizo ya akili and u ar starting to see stuff!
keshasema mtu wa deal sasa hapo kuna UWALAKINI hata habari ya dini sijui ka itakuepo,sina maana kwamba watu wa dili wote sio wacha Mungu,ila kwa dunia ya leo mambo yapo wazi.