Hawawezi hangaika na vidagaa mkuuKuna kudaiwa rushwa kulikovuka mipaka katika hili zoezi la vitambulisho vya taifa, Hali imekuwa mbaya zaidi baada ya vitambulisho hivyo kutumika kusajili simu ambapo mwisho ni Desemba mwaka huu.
Yalinikuta binafsi ila nikaamua niachane na kitambulisho na line nimesajili kwa kitambulisho cha mzee ambae ameshafariki.Leo kuna jamaa yangu pale ofisi za Temeke katakiwa atoe 70,000/- ili apate hiyo huduma ndani ya muda mfupi.
Naomba PCCB waweke mitego yao kwenye ofisi zote za NIDA na wahakikishia watavuna vidagaa vingi vya rushwa.
mi nilimpa mdogo wangu simu na hiko kitambulisho akarudi mambo mazuri sijui alifanyaje kwa kwelimkuu imewezekanaje kusajiri kwa kutumia kitambulisho cha mzee wako?
kwa uelewa wangu fingerprints zilizopo kwenye kitambulisho cha mzee hazitaendana na zako so obvious system itagoma kukutambua kuwa wewe sio mwenye kitambulisho
Yaani serikali ni kama imewaacha wafanye wanavyotaka hakuna usimamizi kuna rushwa na utapeli hatarKuna kudaiwa rushwa kulikovuka mipaka katika hili zoezi la vitambulisho vya taifa, Hali imekuwa mbaya zaidi baada ya vitambulisho hivyo kutumika kusajili simu ambapo mwisho ni Desemba mwaka huu.
Yalinikuta binafsi ila nikaamua niachane na kitambulisho na line nimesajili kwa kitambulisho cha mzee ambae ameshafariki.Leo kuna jamaa yangu pale ofisi za Temeke katakiwa atoe 70,000/- ili apate hiyo huduma ndani ya muda mfupi.
Naomba PCCB waweke mitego yao kwenye ofisi zote za NIDA na wahakikishia watavuna vidagaa vingi vya rushwa.
basi mkui kama imewezekana basi huo mfumo wa kisajili namba kwa alama za vidole basi ni useless maana bado unafojiwa tumi nilimpa mdogo wangu simu na hiko kitambulisho akarudi mambo mazuri sijui alifanyaje kwa kweli
Mkuu siku 3 mmh apana iyo aise . Nin no. Yenyewe co cku 3Huku chuga nimeambiwa elfu 15 tu na form anakuletea unajazia home...then utaenda ofisin kupiga picha baada ya siku 3 unapewa kitambulisho safiii. Nafwatilia nikifanikiwa nitawaambia
Mkuu siku 3 mmh apana iyo aise . Nin no. Yenyewe co cku 3