hili tatizo linanisumbua sana,naombeni msaada,nitakufa

hili tatizo linanisumbua sana,naombeni msaada,nitakufa

chelsea fc

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Posts
864
Reaction score
212
kwa yeyote anayefahamu hili tatizo nitalitatuaje naomba anisaidie kama unafahamu mahali popote ambapo naweza kupata tiba naomba vilevile uni PM!
tatizo lenyewe ni hili miaka kadhaa iliyopita nilijigundua kuwa mbegu zangu haziwezi kurutubisha yai yaani siwezi kumpa mwanamke mimba (low sperm count) hii ni baada ya kufanya majaribio kadhaa ya kumeet na demu katika siku zake na nilipoenda hospitali ikasibitika ni kweli,nimezunguka hosipitali nyingi sana TMJ,amana,michocheni lakini wapi! hadi kwa yule jamaa wa tiba mbadala pale ilala bungoni tena yule ni mbabaishaji ile mbaya!
i know siku zaliwa hivi kozi hapo nyuma hata spem zangu zilikuwa tofauti na sasa hivi,sasa hivi nyepesi saanaa, so nimagonjwa ya zinaa flani hivi!
naomba kwa yeyote anayeweza kufahamu mahali ninapoweza kupata tiba nikapona kwa hapa nchini nitashukuru sana zawadi ya shukrani itatolewa.
naomba PM zenu muhimu

very seriouz!!!!!!
 
pole sana mkuu, subiri wataalam waje,.,
 
pole kiongozi,nilikuwa na mpango wa kumpeleka wife kwa huyo jamaa wa ilala,sasa umenitisha kumbe msanii?.
 
yule jamaa ni tapeli nashangaa kwanini serikali haimshughulikii anajinufaisha kupitia matatizo ya watu,
ukifika pale ukianza kujieleza kwa wasaidizi wake (coz yeye huwezi kumuona yupo bize vibaya) tu kuwa unasumbuliwa na kitu flani na umeenda hospitali kadhaa katika hizo ulizoenda zikiwemo za hadhi ya juu kama tmj agha kan umekwisha utatajiwa bei hiyo utashangaa,halafu ukianza dozi hata kama unaona haina mabadilio kwako yaani unatumia dawa ila hausikii kama inafanya kazi au inakudhuru hataki ubadilishe mpaka umalize na kila ukienda ni kutoa hela tu hakuna huduma bila kutoa hela yule ni tapeli sana kama anatibu anatibu sehemu ndogo sana ya matatizo ya watanzania
 
pole sana,madokta mumsaidie jamani.jee vyakula vyenye kurutubisha ulijaribu?zink suppliment pia zinasaidia,ila kama unakunywa sana pombe jaribu kuacha
 
kwa yeyote anayefahamu hili tatizo nitalitatuaje naomba anisaidie kama unafahamu mahali popote ambapo naweza kupata tiba naomba vilevile uni PM!
tatizo lenyewe ni hili miaka kadhaa iliyopita nilijigundua kuwa mbegu zangu haziwezi kurutubisha yai yaani siwezi kumpa mwanamke mimba (low sperm count) hii ni baada ya kufanya majaribio kadhaa ya kumeet na demu katika siku zake na nilipoenda hospitali ikasibitika ni kweli,nimezunguka hosipitali nyingi sana TMJ,amana,michocheni lakini wapi! hadi kwa yule jamaa wa tiba mbadala pale ilala bungoni tena yule ni mbabaishaji ile mbaya!
i know siku zaliwa hivi kozi hapo nyuma hata spem zangu zilikuwa tofauti na sasa hivi,sasa hivi nyepesi saanaa, so nimagonjwa ya zinaa flani hivi!
naomba kwa yeyote anayeweza kufahamu mahali ninapoweza kupata tiba nikapona kwa hapa nchini nitashukuru sana zawadi ya shukrani itatolewa.
naomba PM zenu muhimu

very seriouz!!!!!!

Pole sana, upo wapi? Ni pm # yako ya cm tuongee, tatizo lako litakuwa historia,ndio litakuwa historia wala usisononeke sana
 
Pole sana.
Rudi hospitali na uanze process ya matibabu mara moja. Kuna urologist mzuri sana agha khan, yupo kila siku kutwa kasoro wikiendi, jaribu kumuona na umsikilize. Ukimuona shafiq pia hapo hapo agha khan anaweza kukushauri na ikiwezekana mtafanyiwa process inaitwa artificial insemination (hii ni tofauti na ivf).

Kila la kheri
 
Pole sana ndugu.Usiende pupa kuna matapeli wameshakuona hata humu.Naomba mpigie mama huyu simu ni mwalimu wa primary school anaitwa mama Kisi.Ongea nae kisha ni PM kwakwambia nini? 0764 384153.
 
Pole sana Mkuu fuata ushauri wa King'asti labda nawe unaweza kujaaliwa kuitwa Baba, kila la heri.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe Kigwangalla hakumuonea alivyomfungia eeeeh!!

Vp mkuu umeshapona?
 
Back
Top Bottom