Hili tatizo linanisumbua

Hili tatizo linanisumbua

Keben

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
725
Reaction score
175
Yani huwa pua linaniwasha siyo kawaida,huambatana na chafya mfululizo yenye mafua.pia mafua ya ghafla hunijia endapo nitakutana na pafyum kali,rangi kali nk. Niliambiwa nina aleg
¤ dawa yake ni nini?
 
Original source ya allergy ni maji kuwa kidogo mwilini.so penda kunywa maji kwa wingi.Epuka izo harufu kadri uwezavyo then kuna dawa za hospital kama sikosei zinaitwa antihistamine.subir ma doctor waje mi sio doc ila na experienc kidogo na iyo ishu.
 
Epuka tu hizo perfume. Na ule mboga za majani na matunda kwa wingi kuimarisha afya. Pole
 
Back
Top Bottom