Hili tundu kwenye kufuli lina kazi gani?

Hili tundu kwenye kufuli lina kazi gani?

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Kufuli.jpg
 
Wajuba huchokonoa hapo mpaka chuma inaachia, kazi yake siijui zaidi ya hiyo.
 
Kuweka kilainishi ili kofuli indelee kufanya kazi yake katika ubora uliokusudiwa.
 
Back
Top Bottom