Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 Jan 13, 2023 #2 Wajuba huchokonoa hapo mpaka chuma inaachia, kazi yake siijui zaidi ya hiyo.
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,652 Reaction score 4,972 Jan 13, 2023 #3 Ni cha kudrain maji kama kufuli inatumika nje kipindi cha mvua, si unajua maji yakikaa hapo inasababisha kutu?
Ni cha kudrain maji kama kufuli inatumika nje kipindi cha mvua, si unajua maji yakikaa hapo inasababisha kutu?
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,311 Reaction score 36,056 Jan 13, 2023 #4 Kuweka kilainishi ili kofuli indelee kufanya kazi yake katika ubora uliokusudiwa.
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 43,960 Reaction score 77,533 Jan 13, 2023 #5 Ni moyo wa kupunguzia hasira za kuchokonolewa kiholela bila taarifa.
dudus JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 23,782 Reaction score 54,213 Jan 13, 2023 #6 Extra miles said: Ni cha kudrain maji kama kufuli inatumika nje kipindi cha mvua, si unajua maji yakikaa hapo inasababisha kutu? Click to expand... ... simple and clear explanation! Safi.
Extra miles said: Ni cha kudrain maji kama kufuli inatumika nje kipindi cha mvua, si unajua maji yakikaa hapo inasababisha kutu? Click to expand... ... simple and clear explanation! Safi.