Hili Vibe la Wanaosafiri kwenda Pele Stadium Kigali Rwanda liwepo hata mkirejea Dar baada ya Kufungwa na Msudani

Hayo mashindano hayajumuishi timu za vipofu kama Kule kwenu loosers cup mlikokuzoea .Huku kuna miamba Kwelikweli.

Mjiandae kisaikolojia kurudi kuja kupokea wageni airport kama mlivyozoea Maana ndiyo kazi mnayoiweza.
 
Mimi ni nani nisiunge mkono hoja
 
El mereikh inajulikana wazi hakuna timu hapo, ndiomaana hata wakikutana na simba wanakalia na kufukuza kocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…