Hili wimbi la wahamiaji hasa Burundi Jenerali wa Magereza anasubiri nini kupisha ofisi?

nicholasmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
1,939
Reaction score
1,257
Siku km mbili tatu kumekuwa na kamata kamata ya wahamiaji haramu wengi sana, ni vipi mipaka yetu hailindwi? Wahusika wako wapi, jeshi la uhamiaji imeenda likizo? Mipaka yetu hailindwi? Usalama wa nchi yetu vipi? Mbona tunatishwa? Vijana wote wale?

Na mjue raia wa nchi nyingine kamwe hawezi kubadilika moyoni mwake siku zote atakuwa mzalendo kwa nchi huku wanakuja kwa malengo yao tu.

Hii nchi sazingine utafikiri kuna ombwe kubwa la uongozi. Hao wanaowaleta nakuwahifadhi sheria inasemaje kuwahusu, hatuna sheria? Wako mpaka kwenye majiji makubwa, hii ni fedheha.

Ila huyu Rais anahitaji kubadilika, wamemzoea sana, ukiangalia jinsi kina Mwigulu wanavyomchezea dah! Sijui km tutafika salama.
 
Wewe ni Mtanzania? Thibitisha!!
 
Comments zako nyingi zimekaa kuisifia CCM na dalili zote ni Shabiki wa CCM.

Sasa Kwa Nini ukiwa CCM ni synonymous na kuwa huna akili? Jeshi la Magereza wanahusika vipi na kukamata Wahamiaji haramu?

Nchi hii ni aibu sana kila Kona ni incompetence na ignorance ya Hali ya juu.
 
Aiseeh nilishangaa nilifika hapo Kahama juzi, Kuna mtu akaanza kunisemesha kinyarwanda. Mwingine alinisalimia kinyarwanda kwenye gari. Miaka mitano ijayo Kahama itakuwa Kigali ndogo.
Hao ni washenzi kuna kijiji hapo Kahama walikaribishwa kinaitwa Nuja ,wakaanza kudai hiyo land ya kijiji karibu chote ni yao.Alichowafanya Magu hawana hamu,hata ukipita na cruiser wanakimbilia porini.
 
Kwa miaka ya hivi karibuni wamekuwa wajanja,wakiingia Kigoma na wakatambuliwa na viongozi wa vijiji,wanakuja mikoa ambayo siyo ya mipakani na kuweka makazi ya kudumu.
Kwa hiyo siku hizi wamejaa Morogoro nk.Ndiyo hao akina Mwijaku.
 
Aiseeh nilishangaa nilifika hapo Kahama juzi, Kuna mtu akaanza kunisemesha kinyarwanda. Mwingine alinisalimia kinyarwanda kwenye gari. Miaka mitano ijayo Kahama itakuwa Kigali ndogo.
Ili mradi ni wanachama wa chama cha ccm. Hiki chama ni majanga kwelikweli; limeshindwa kuisimamia serikali.
Bado wapuuzi wengine wanaiunga mkono.
 
Siku km mbili tatu kumekuwa na kamata kamata ya wahamiaji haramu wengi sana, ni vipi mipaka yetu hailindwi? Wahusika wako wapi, jeshi la uhamiaji imeenda likizo? Mipaka yetu hailindwi? Usalama wa nchi yetu vipi? Mbona tunatishwa? Vijana wote wale?

Na mjue raia wa nchi nyingine kamwe hawezi kubadilika moyoni mwake siku zote atakuwa mzalendo kwa nchi huku wanakuja kwa malengo yao tu.

Hii nchi sazingine utafikiri kuna ombwe kubwa la uongozi. Hao wanaowaleta nakuwahifadhi sheria inasemaje kuwahusu, hatuna sheria? Wako mpaka kwenye majiji makubwa, hii ni fedheha.

Ila huyu Rais anahitaji kubadilika, wamemzoea sana, ukiangalia jinsi kina Mwigulu wanavyomchezea dah! Sijui km tutafika salama.

Tatizo kuna rushwa tupu kuanzia maofisa wa uhamiaji, viongozi wa serikali na hata baadhi ya wananchi.

Yaani fikiria mgeni anaingia nchini mpaka ananunua na kumiliki viwanja, hapo ina maana kapewa ushirikiano wa kutosha.

Uhamiaji utasikia tu wakiwazuia wanasiasa au viongozi wa chama fulani kusafiri nje ya nchi lakini haya ya raia wa kigeni kuingia nchini hovyo husikii lolote toka kwao....aibu kwa taifa.

Wenye jukumu la kulinda nchi nao hawaeleweki, watu wanatekwa hakuna linalofanyika.
 
Hao ni washenzi kuna kijiji hapo Kahama walikaribishwa kinaitwa Nuja ,wakaanza kudai hiyo land ya kijiji karibu chote ni yao.Alichowafanya Magu hawana hamu,hata ukipita na cruiser wanakimbilia porini.
Geita wapo kibao kupita Kahama nadhani kuna jamaa yao mwenyekiti wa chama cha kijani ndio kama kimbilio lao maana naye ni wakule kule sema Tanzania ni nchi haina umakini kwenye mipaka yake
 
Siku km mbili tatu kumekuwa na kamata kamata ya wahamiaji haramu wengi sana, ni vipi mipaka yetu hailindwi? Wahusika wako wapi, jeshi la uhamiaji imeenda likizo? Mipaka yetu hailindwi? Usalama wa nchi yetu vipi? Mbona tunatishwa? Vijana wote wale?

Na mjue raia wa nchi nyingine kamwe hawezi kubadilika moyoni mwake siku zote atakuwa mzalendo kwa nchi huku wanakuja kwa malengo yao tu.

Hii nchi sazingine utafikiri kuna ombwe kubwa la uongozi. Hao wanaowaleta nakuwahifadhi sheria inasemaje kuwahusu, hatuna sheria? Wako mpaka kwenye majiji makubwa, hii ni fedheha.

Ila huyu Rais anahitaji kubadilika, wamemzoea sana, ukiangalia jinsi kina Mwigulu wanavyomchezea dah! Sijui km tutafika salama.
acha 3,Kuna sehemu panaitwa nyakahura,Kuna warundi,wakongo wanyarwanda wengine wapo tuu wamehamia wanna makazi,probox zinawavusha kinoma kwa njia bubu,ni kama Kuna biashara ya watu
 
Unadhani mipaka ni sawa na mlango wa zizi wote lazima mpitie mlangoni pembeni fence.
Pana people hazijui kama pana mipaka zinaingia na kutoka kama panya leo yupo congo kesho tza kesho kutwa burundi na kote lugha zinapanda.
 
Back
Top Bottom