Hili wimbi la wahamiaji hasa Burundi Jenerali wa Magereza anasubiri nini kupisha ofisi?

Mimi nashauri raia wa Afrika Mashariki waishi na kufanya kazi popote pale huru bila vibali.
Lakini ardhi imilikiwe na wazawa (raia) wa nchi husika.
Mkoa, Geita, Tabora, Shinyanga, Simiyu, Morogoro, Pwani na Dar es Salaam warundi wengi Sana wanamiliki ardhi.
Wanamiliki kitambulisho cha NIDA, n.k.
Kagera na Geita Kuna wanyarwanda wengi pia.
 
Kwa miaka ya hivi karibuni wamekuwa wajanja,wakiingia Kigoma na wakatambuliwa na viongozi wa vijiji,wanakuja mikoa ambayo siyo ya mipakani na kuweka makazi ya kudumu.
Kwa hiyo siku hizi wamejaa Morogoro nk.Ndiyo hao akina Mwijaku.
unachosema nikweli hata lushoto wapo wanajifanya kuuza kahawa.
 
Acha kuleta taharuki tuko kwenye uchaguzi. Vyombo viko macho.
 
Duuh
 
Geita wapo kibao kupita Kahama nadhani kuna jamaa yao mwenyekiti wa chama cha kijani ndio kama kimbilio lao maana naye ni wakule kule sema Tanzania ni nchi haina umakini kwenye mipaka yake
Yani mimi mtu akiitaja KAHAMA nasikia kulia hivi wahusika yanayoendelea KAHAMA hawayajui au
 
Yani mimi mtu akiitaja KAHAMA nasikia kulia hivi wahusika yanayoendelea KAHAMA hawayajui au
Kahama,Geita,sehemu za Runzewe kwenda njia panda ya Kigoma,Biharamulo,na Karagwe kuna wanyarwanda nadhani ukifanya hesabu za haraka inaweza kuwa robo ya population ya wanyarwanda walioko Rwanda
 
Watumishi wa uhamiaji ni wachache sana.
Nashauri uhamiaji itolewe wizara ya mambo ya ndani iwe kwenye wizara ya ulinzi
 
Idara za ulinzi zipo kwa ajili ya CHADEMA kushugulikia sio lolote kwa sasa.
 
Mbona hadi kwenye system tena ngazi ya juu washajipachika.
Nimekaa kabanga pale kobero boda ya tz na burundi kiukwel warundi washavamia tz kirahis sana alafu wakifika tz cha kwanza wanamiliki kadi ya ccm na kadi ya yanga.
Wengi wanamiliki hadi id za mpiga kura hadi nida
 
Mipaka ya Magharibi mwa Tanzania Iko wazi saaaana ni aibu mno


Nilikuwa nchi jirani Burundi na Rwanda aiseh wanaichezea hii nchi kama hakuna Ofisi za ihamiaji.


IMEFIKIA hatua Huwa Tanzania ikikaribia mwaka wa Uchaguzi wanasema Wanakuja kukata Vitambulisho vya kupigia kura na Wanapewa. Aiseh


Kuna Watusi kibao hapo Kahama wazazi wao wako Rwanda na wamechukua Hadi Form za Ubunge tunaweza kuweka Hadi namba za simu
 
Halafu kila nikisikia raia wa kigeni wamekamatwa (kule Kanda ya Ziwa) huwa ni WARUNDI tu. Mbona huwa sisikii Wanyarwanda wamekamatwa ilhali wamejaa sana hapo Kagera,Geita na Kahama? Wana nguvu kubwa sana hawa eti?
 
Kamala Harris alisema hakuna kosa la " uhamiaji haramu. Mimi nilikuwa Attorney General muda mrefu. Najua mkosaji ni mtu gani-- siyo mhamiaji haramu".
 
Wauza kahawa wengi mtaani ni warundi waliojificha kwenye kofia ya watu kutoka Kigoma.
 
Dah!

Huyu ndiye 'nicholasmari'!

Nchi hii inayo kazi kubwa sana kurekebisha watu kama huyu aweze kuendana na fikra za nyakati.
Siyo ajabu huyu ni mhitimu wa 'choo' kikuu, mahali fulani na kashikilia wadhifa nyeti ndani ya serikali; na mwakani atadai kupandishwa ngazi kwa kutumia jina lake tu!

Huyu kajaa maneno ya kutukana tu yeyote anayemkosoa Samia, sasa angalia mada yenyewe ilivyo wasilishwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…