hilo li-chata pembeni ya avatar ya gfsonwin

hilo li-chata pembeni ya avatar ya gfsonwin

gfsonwin

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
18,272
Reaction score
20,692
haluuuuu limependezaje sasa?

mwaya wala usiwaze utalipataje bali fanya hivi.
weka pesa kwenye simu yako yaani mpesa, ama tigo pesa, ama airtel money, ama ezypesa. kisha ingia jf upande wa kulia chini utaona tangazo

"support jamii forum and become a jf premium member"

basi utabofya hapo halafu utamwona MIKE MAKEE akikupa maelezo namna ya kuchangia ili uweze kulipata kama hili lol!

najua Bishanga Superman na wengine yakwao yako juu zaid lakin si haba hata kama sweetlady litakupendeza. Asprin na Nyani Ngabu mko juu ila mmefungana na mwl banaa lol! kumbe hata wanawake tunaweza atii.
haya mashosti zangu akina cacico, snowhite, Madame B, King'asti, Kongosho, amu, lara 1, Ciello na wengine wooooooooteeeeeeeeeee ekeni kuanzia elfu 20 tu mtayapata machata ya kufa mtu. wanawake tunaweza atiii. tena tujipambe kweli wakaka tuwashinde ndipo wajue wanawake juuu zaidi ziku zote............. eboh!!!

uzuri wanawake wa jf ni hodari sana wa kuchangia najua Kongosho na King'asti ya kwenu yame expire tu sasa liactivate na najua nyie kama si ma platinum basi ni matanzanite.

wanawake na maendeleo tufanye kazi tusonge mbeleee yelele yeleeeeeee eeeh wanawake yelee yeleeee eeh kina mama!!!!!!!!!!!!!!!!!!

sasa wakaka na wababa wa jf tutawacheka sana tukiwashinda kwa kuchangia lol! mmeskia??? angalieni tena nitamwomba MIKE MAKEE SIKU TUFANYE KUPEWA STATISTICS ZA WACHANGIAJI BORA KATI YA WAKINA DADA/ WAMAMA NA KATI YA WAKAKA/WABABA.
KWA WALE AMBAO MAANDSHI YAO YAMETHIBITISHA HAYO.

najua akina mama lazima tuwashinde tu hawa wababa.

kina mama oyeeee!
mwl juuu! wote kwa pamoja.............
clap, clap,clap!!!!!!!!!!!!!
clap for gfsonwin!
keep it up!
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhhhhhhhhhhhhhhh! Eeeeh! Sasa mtu akini PM mambo personal naangalia kama CHATA LIPO au uzushi! Na mie ngoja nijikaze nifute aibu hiii! Mtoto Mdogo Blaine zinga la CHATA!!!!! Mie Kubwa la Maadui bure kabisaaa! Sikubali nasema sikubali!!!!!!!!!! Itabidi nikope Saccoss mwenzenu nije niweke heshima jamvini!!!

Navopenda mambo makubwa chupi inanibanajeeee! Heri usingenitaja ningejikausha je?!!!! Mzamini wa Kunilipia hilo CHATA anahitajika Haraka sanaaa! Naumbuka mwenzenu tena Ciello akiona hapa tu kesho analo!

Jamani anaenifadhili hilo chata ani PM tu!!!!!!!!! LOL! (Ikibidi nitatoa mwenyewe isiwe tabu!)
 
Last edited by a moderator:
Nimeliona mwl gfsonwin nilidhani umepaka naniliuuuuuuuu kwenye naniliuuuu!
Hongera mwl
Ngoja na mimi nianze kulitafuta!

haya Ruttashobolwa, Chimbuvu, Baba V mwl mwenzangu nitonye. mmeliona lichata la kungwi??
sasa ole wenu niwashinde muone. jitahdini kabla ya mwaka kuisha mmpate kama langu lol!
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhhhhhhhhhhhhhhh! Eeeeh! Sasa mtu akini PM mambo personal naangalia kama CHATA LIPO au uzushi! Na mie ngoja nijikaze nifute aibu hiii! Mtoto Mdogo Blaine zinga la CHATA!!!!! Mie Kubwa la Maadui bure kabisaaa! Sikubali nasema sikubali!!!!!!!!!! Itabidi nikope Saccoss mwenzenu nije niweke heshima jamvini!!!

Navopenda mambo makubwa chupi inanibanajeeee! Heri usingenitaja ningejikausha je?!!!! Mzamini wa Kunilipia hilo CHATA anahitajika Haraka sanaaa! Naumbuka mwenzenu tena Ciello akiona hapa tu kesho analo!

Jamani anaenifadhili hilo chata ani PM tu!!!!!!!!! LOL! (Ikibidi nitatoa mwenyewe isiwe tabu!)
hahahah! umeona enh?

yaani watoto wamshinde kabisaaa lara 1 mkubwa mzima haiwezekani. lol! wala usikope shosti leo tarehe zimesonga subiri salary ikitoka tu funga macho usinunue lip stick mpya ile elf 50 ya lipstick ndo uilipie humu uone utakavyolipata.

ila shosti Blaine asikushinde kabisaaa jipige upate kama lake lol!
 
Last edited by a moderator:
hahahahah hizi lawama hizi ngoja mhusika arudi aje kuniipia lol...

unalo bibiii yamekushinda!!!!!!
lakin bado mwaya, najua wewe kabla hata ya mwaka kupinduka utakuwa na ligold hapo pembeni. wewe tena mtt mzuri barafu ya Prisoner 6----
 
Last edited by a moderator:
Mmmhhhhhhhhhhhhhhhh! Eeeeh! Sasa mtu akini PM mambo personal naangalia kama CHATA LIPO au uzushi! Na mie ngoja nijikaze nifute aibu hiii! Mtoto Mdogo Blaine zinga la CHATA!!!!! Mie Kubwa la Maadui bure kabisaaa! Sikubali nasema sikubali!!!!!!!!!! Itabidi nikope Saccoss mwenzenu nije niweke heshima jamvini!!!

Navopenda mambo makubwa chupi inanibanajeeee! Heri usingenitaja ningejikausha je?!!!! Mzamini wa Kunilipia hilo CHATA anahitajika Haraka sanaaa! Naumbuka mwenzenu tena Ciello akiona hapa tu kesho analo!

Jamani anaenifadhili hilo chata ani PM tu!!!!!!!!! LOL! (Ikibidi nitatoa mwenyewe isiwe tabu!)
Mimi hilo lichata sina, ila nilikuwa radhi kukudhamini hakyanani. Ila hilo la "Chupi kukubana" limenitishajeee, Mchina au!.
 
Back
Top Bottom