hilo li-chata pembeni ya avatar ya gfsonwin

hilo li-chata pembeni ya avatar ya gfsonwin

Wer...........weraaaaaaaaaaaaaaaa,
Wanawake Oyeeeeeeeeeeeeeee,
Wanaume zzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz,

Ngoja nami niliweke li Tanzanite fasta
we Madame B sakapoko Chimbuvu ana milioni ya kukulipia tanzanite wewe? Kajikombe kwa advocate Ruttashobolwa atakupa hiyo hela na mimba juu.
 
Last edited by a moderator:
Afu nawee umezidi kwa miandiko na ubaguzi. Kama umeweza kumpa haya maujiko mwalimu gfsonwin unashindwaje kumpa ma mwalimu snowhite mpaka alielie namna hii?

BTW fanya mandingo nishinde tena yale makitu ili unipaishe niwe Tanzanite member mie na comrade Nyani Ngabu. Si unaona mwalimu anavotupiga madongo na haya magold ya "kupewa"? Hahahahah!
hahahah! mlipie basi snowhite ili apate hiyo gold? kama mie nimepewa maujiko ili apewe?

kumbe mwenzangu wewe unahongwa enh! nilijua unalipa kama wengine mmh! haya Superman njoo nijibie hivi huyu unamuhonga ama?
 
Last edited by a moderator:
mbona tutakoma mwaka huu!
uuuwih jamani hakuna hata wa kuniPM kuhusu hii thread mweh!
mwali mi hata sikubali!'
kwani hilo lijichata pembeni kwako hapo shing ngapi?
lol!
haya haya jamani wareee wooote oh snowhite unajua ,oh nini kwani oh kwani si uniweke tu humo!
ndo munipe sasa lichata!
ahahhahahhahahhahhahahhahaha SITAAAAKI MIMI! Boflo ukinilipia hili chata NITAKUONA BOOOOOONGE LA MWANAUME!
shosti wala usisubiri uewa manake watahitaji walipwe. wewe cha kufanya lipa 20 kisha tulia endelea siku nyingine 30 kisha tulia baada ya miez 3 weka 50 tena utajikuta tayari unakaribia ubronze atiii.

niliekeza kama kwenye VICOBA mwali na juzi ndo nimemaliza nikaomba nipewe status wala si kazi.

ama nikupe njia nyingine nzuri kila siku dondosha sh 2000/= tu baada ya mwez ni 60000/= ukiongezea mwez wa pili tayari wewe ni bronze ukienda wa 3 tayri ni gold. ni simple sana. sina za jumla lkn za kuchanga changa mwali sikosi.
BTW hivi kwani ule mtaji wa ice cream umekufa kwani?? kama bado tumia faisa yake ya siku kulipia unamweleza ti MIKE MIKEE kwamba nataka nikifikia kiwango cha status fulan ndo uniwekee chata. mwali unaweza kabisa.
 
ngoja nianzishe kibubu!
 
Ngoja nami niliweke fasta,
Invisible kule keshanipa yangu makavu sahv nasubiri tu nikalipie.
BTW morn gfsonwin, Me nimeamka Mgongo na Kiuno vyote vimekaza.
Nataka nitafute Grisi ya kuvilegeza.:becky::becky::becky:
kiuno kimekaza tenaaaaaaaaa!
sasa mwali hapo itabidi utafute mtu wa kukilegeza lol!
BTW changia jf bana
 
we Madame B sakapoko Chimbuvu ana milioni ya kukulipia tanzanite wewe? Kajikombe kwa advocate Ruttashobolwa atakupa hiyo hela na mimba juu.

hakya Mungu sikubali ngoja nikaze buti next time napata li TANZANITE. naanza kutoa kila mwez laki hadi mwisho wa mwaka hii ikiexpire napata kama lako Bishanga.

chezeya nguvu ya mwanamke weye.
 
Last edited by a moderator:
yaani huna hata haja ya kibubu mwali unaiatuma moja kwa moja kwa mike makee halafu utaona. mwl tena ashindwe aaah! wapyyyyyyyyy!!!!!!!!

natangaza nia!
kuanzia january natupiemo humo elfu kazaa mpaka juni! hala hala wasije niwekea chata la JF FOUNDER tu!kwa jinsi nilivo na hasira!
 
Mmmhhhhhhhhhhhhhhhh! Eeeeh! Sasa mtu akini PM mambo personal naangalia kama CHATA LIPO au uzushi! Na mie ngoja nijikaze nifute aibu hiii! Mtoto Mdogo Blaine zinga la CHATA!!!!! Mie Kubwa la Maadui bure kabisaaa! Sikubali nasema sikubali!!!!!!!!!! Itabidi nikope Saccoss mwenzenu nije niweke heshima jamvini!!!

Navopenda mambo makubwa chupi inanibanajeeee! Heri usingenitaja ningejikausha je?!!!! Mzamini wa Kunilipia hilo CHATA anahitajika Haraka sanaaa! Naumbuka mwenzenu tena Ciello akiona hapa tu kesho analo!

Jamani anaenifadhili hilo chata ani PM tu!!!!!!!!! LOL! (Ikibidi nitatoa mwenyewe isiwe tabu!)
Utafanyiwa kama yule jamaa aliyekupeleka kidate halafu akawa hana kitu............kakwapue za Diaspora
 
natangaza nia!
kuanzia january natupiemo humo elfu kazaa mpaka juni! hala hala wasije niwekea chata la JF FOUNDER tu!kwa jinsi nilivo na hasira!

umeona enh! mie kuanzia jn naanza kautupiemo hadi hili liexpire napata uTANZANITE chezeya mwl weye!!!!!!!!!!
 
Hello gfsonwin, umefanya jambo la heri sana kuchangia JF na hata kuanzisha hii thread. najua ni wengi sana wenye uwezo wa kuchangia lakini kwa sababu fulani fulani hawajaweza kufanya hivyo.

Ni ukweli usiopingika kuwa JF kwa sasa inaendeshwa kwa gharama kubwa sana. Tunamshukuru sana Invisible na team yote ya JF staff na Mods kwa kuendelea kujitolea ili JF isonge mbele.

Natoa wito kwa kila mwenye uwezo wa kuchangia JF kuanzia kiasi kidogo cha elfu 20 na kuendelea kufanya hivyo. Kutoa ni moyo na wala haina maana nyingine yoyote. Najua tunatumia pesa nyingi zaidi ya elfu 20 kwa mwaka kuweza kupata access ya bure JF lakini wakati huo huo wengi hawajafanikiwa kuchangia JF.

Kwa heshima na taadhima nawaomba sana wale wote wenye mapenzi mema wachangie JF. Bila shaka mkongwe mwenzangu Bishanga ataungana na gfsonwin kuhamasisha zaidi uchangiaji.

Hongera sana Kungwi gfsonwin.

thanks mkuu. ila mbona sikuoni kwenye rada zangu?? wewe ni jf founder ama ni Invisible ama ni nani?? manake ID yako imenitisha sana ukieka na mwandiko. mmmh!
 
Last edited by a moderator:
Umesikia nimempendea pesa zake??????
Nimempendea 'shughuli' yake, si ya kitoto. Bishanga, utajijuuuuuuuuuuu
Bishanga na Madame B itabidi siku tuwaombe tu mkapeane dozi si bure haya majibu haya mnatakana lol!
ama Bishanga ulishindwa kumiliki hili dege la obama??

hapa najua watu kaa akina Superman ndo wanapaweza wewe mmh!
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi nakuita uje uone lichata langu na jainsi ambavyo nakugalagaza kidume wewe. waite na wanao CANtalisa na King'asti wajionee baba yao akishushwa P na mwl!!
 
Last edited by a moderator:
mimi nilidhani hilo li chata liko kiunoni tuanze kulitafuta

nitonye nataka kuona lakwako bana.
najua wewe kama si platinum basi ni tanzanite wewe tena, hutamwangusha sweetlady.
 
Last edited by a moderator:
Bishanga na Madame B itabidi siku tuwaombe tu mkapeane dozi si bure haya majibu haya mnatakana lol!
ama Bishanga ulishindwa kumiliki hili dege la obama??

hapa najua watu kaa akina Superman ndo wanapaweza wewe mmh!

gfsonwin,
Hapo kwenye Red= Anataka sana ila anashindwa pa kuanzia na hata akiweza ataishia juujuu tu huyo Bishanga bashaija.
Hapo kwenye Green= Hata huyo Superman mwenyewe Hapa atachemka, Hili ni Buldozza Mziki wake mnene, CD 990
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom