hilo li-chata pembeni ya avatar ya gfsonwin

hilo li-chata pembeni ya avatar ya gfsonwin

thanks mkuu. ila mbona sikuoni kwenye rada zangu?? wewe ni jf founder ama ni Invisible ama ni nani?? manake ID yako imenitisha sana ukieka na mwandiko. mmmh!

gfsonwin, kuwa na amani tu usitishike. Yote ni kwa mapenzi mema.

Kuna wengi tupo humu na tunaenjoy kusoma mnavyoandika na kuendeleza mijadala zaidi. So so rahisi kuniona Chit-Chat nk maana sasa sisi wengine ni Vibabu. Wazee wenzetu kama Bishanga wao ni Vibabu vya Dot.Com so utawaona sana. Hongera sana Wakuu.

Just like Big Brother Eyes . . . We are always watching at the backstage!
 
on a serious note!!!!!!!i like your signature,
nifanyeje??
 
umeongea jambo la maana sana maana CC wenye hilo lichata ni wachache sana kuna haja ya kuvunja vibubu......big up gfsonwin
 
hakya Mungu sikubali ngoja nikaze buti next time napata li TANZANITE. naanza kutoa kila mwez laki hadi mwisho wa mwaka hii ikiexpire napata kama lako Bishanga.

chezeya nguvu ya mwanamke weye.

mkiwezeshwa mnaweza ati Madame B nimempa ofa ya u tanzanite akaringa,ananchekesha.
source:FF
 
Last edited by a moderator:
Wewewewe Bishanga, ishia hapo hapo wewe si ndio umeleta mapozi???
Mara ohooooo......... Superman anakufaa mara ooohooooooo........ nitonye sijui kafanyeje nituweeeeeeeeee babu weeeeeeee.

mwali wewe itabidi uende tu kwa Superman ujue weeeee ni bidha adimu atii. mbaya kabisa ni dege la obama.
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin,
Hapo kwenye Red= Anataka sana ila anashindwa pa kuanzia na hata akiweza ataishia juujuu tu huyo Bishanga bashaija.
Hapo kwenye Green= Hata huyo Superman mwenyewe Hapa atachemka, Hili ni Buldozza Mziki wake mnene, CD 990
Madame B, Superman is a Superman, he cares, he provides, he protects, he saves, he loves and much more. Ni nini unataka Mama?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom