Hilo nalo neno

Hilo nalo neno

Kwani umeileta tena na huku mie nimeiona kuleeeeeeeee toka alfajiri. Haya kuna ambao hawajaiona ni nzuri sana na inaongea ukweli
 
Ni kweli kabisa maneno haya yana ukweli ndani yake,kabla ya ndoa na baada ya ndoa mawasiliano ya wapendanao huwa tofauti
 
Ha ha ha ha ha,thats why some of us avoid marriage.............LOL
Love it!
 
Back
Top Bottom