Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Hamna mapenzi nyie ni wafanya biasharaLimefikia hatua la mimi kumtafuta nikiwa na genye tu na yeye kunitafuta akitaka pesa ya marejesho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna mapenzi nyie ni wafanya biasharaLimefikia hatua la mimi kumtafuta nikiwa na genye tu na yeye kunitafuta akitaka pesa ya marejesho.
Haaahaa. sasa bidhaa ni ipi apo kiongozi?Hamna mapenzi nyie ni wafanya biashara
apa mbona km kuna mtu anapigwa kibomu sasaivi
🤣🤣🤣
safari ni hatua kiongoziHivi Kumbe kuna hatua mkuu?
Waza kuinua taifa kiuchumi ngono ipo overrated sanaMaskini unataka awaze nn? au unataka tuyawazie mavogu?
we kuweza?🤣Waza kuinua taifa kiuchumi ngono ipo overrated sana
sawaNonsense
Ooh safi 👏👏Tunakaribia kuvalishana pete 😜
Never and ever kipenzi na hutokuja niona Wala kusikia iam ok with my lifesawa
hlf bdae mje kujilizaliza humu
sie tutawazoom tu
🔭🔭🔭
haya kiongozi. tulijua uko nusu kaputi kumbe...Never and ever kipenzi na hutokuja niona Wala kusikia iam ok with my life
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Limefikia hatua la mimi kumtafuta nikiwa na genye tu na yeye kunitafuta akitaka pesa ya marejesho.
PunaniHaaahaa. sasa bidhaa ni ipi apo kiongozi?
Mwana hua anatuchana live hapa kijiweni . Anasema hakuoi anapita tu.Tunakaribia kuvalishana pete 😜
[emoji23] haha inauma ila itabidi azoeeMwana hua anatuchana live hapa kijiweni . Anasema hakuoi anapita tu.
Vipi kama ameniambia bby cummmm in my mouth? Huyo sii zaidi ya mkeeti wakuu?
Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa?
Je mnajiona mkitoboa miezi 6 au tuwaache kwanza?
View attachment 3229542
Yeah wote tupo hivyo tunaminya minya nyanya tunanunua biringanya[emoji23] haha inauma ila itabidi azoee