MKUYENGE
JF-Expert Member
- Jun 26, 2019
- 4,107
- 4,612
kama mtanzani mpenda maendeleo ya michezo napendekeza uyo mchezaji tajwa hapo juu afukuzwe ikibidi akatafute team ya taifa nyingine maana anachocheza hakieleweki hawezi kushambulia wala kukaba anaonekana kwenye kucheza rafu tu hata kupiga pass hawezi huko misiri anacheza ndondo au?