HIMIDI MAO AFUKUZWE TAIFA STARS

HIMIDI MAO AFUKUZWE TAIFA STARS

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2019
Posts
4,107
Reaction score
4,612
kama mtanzani mpenda maendeleo ya michezo napendekeza uyo mchezaji tajwa hapo juu afukuzwe ikibidi akatafute team ya taifa nyingine maana anachocheza hakieleweki hawezi kushambulia wala kukaba anaonekana kwenye kucheza rafu tu hata kupiga pass hawezi huko misiri anacheza ndondo au?
 
Mkuu, mbona huko kwenu unakula bure tu na huna mchango wowote zaidi ya kupost JF, wala hakuna mtu aliyetaka kukufukuza??
 
Katika mizigo ya wachezaji tulionao huko misri huyo msukuma ni Namba moja

Yaani mpira hajui ila sishangai hata amunike alikuwa anacheza km himid
kama mtanzani mpenda maendeleo ya michezo napendekeza uyo mchezaji tajwa hapo juu afukuzwe ikibidi akatafute team ya taifa nyingine maana anachocheza hakieleweki hawezi kushambulia wala kukaba anaonekana kwenye kucheza rafu tu hata kupiga pass hawezi huko misiri anacheza ndondo au?
 
Labda ni mwanachama wa chama cha Dovutwa halafu ghafla punguani fulani anasema wanatekeleza ilani ya CCM unadhani mchezaji huyu atakuwa na moyo ?
 
uyo jamaa hakuna kitu anachokijua
 
Mimi kwakweli kwa wale wanaomkubali huyu mchezaji watanisamehe tu,huyu mchezaji "sijawahi kumwelewa aisee",mie nadhan n kukosa tu wachezaji wazuri(skilled) ndo maana anajumuishwa kwenye kikos cha National team.
 
kama mtanzani mpenda maendeleo ya michezo napendekeza uyo mchezaji tajwa hapo juu afukuzwe ikibidi akatafute team ya taifa nyingine maana anachocheza hakieleweki hawezi kushambulia wala kukaba anaonekana kwenye kucheza rafu tu hata kupiga pass hawezi huko misiri anacheza ndondo au?
Toa Msomali Tff,, fukuza waziri wa Michezo ......Wachezaji wengi ni mzigo....sio Himid Mao pekee...

Nahodha wa Stars Samata sio kiongozi uwanjani... Zaidi ya kucheza kifadha

MPE unahodha hata Yondan..au Erasto Nyoni.. Anaweza kuhamasisha wenzake wakiwa mchezoni

Kocha huna...nahodha huna....vunja Benchi lote la ufundi waende wakafanye Siasa

Mengine tafakari kwa upole...utajua hatukuwa na Kikosi cha maana
 
Dah!
 
MI Naona hatujapata Kocha mbunifu, mwenye uwezo waa kuwatumia hawahawa wachezaji Wetu zaifu kutengeneza timu yenye ushindani Kama vile UGANDA
 
Back
Top Bottom