kama mtanzani mpenda maendeleo ya michezo napendekeza uyo mchezaji tajwa hapo juu afukuzwe ikibidi akatafute team ya taifa nyingine maana anachocheza hakieleweki hawezi kushambulia wala kukaba anaonekana kwenye kucheza rafu tu hata kupiga pass hawezi huko misiri anacheza ndondo au?
katika vitu nilikuwa sijui nikuwa himidi msukuma najuaga n mtu Zanzibar
Toa Msomali Tff,, fukuza waziri wa Michezo ......Wachezaji wengi ni mzigo....sio Himid Mao pekee...kama mtanzani mpenda maendeleo ya michezo napendekeza uyo mchezaji tajwa hapo juu afukuzwe ikibidi akatafute team ya taifa nyingine maana anachocheza hakieleweki hawezi kushambulia wala kukaba anaonekana kwenye kucheza rafu tu hata kupiga pass hawezi huko misiri anacheza ndondo au?
Dah!Toa Msomali Tff,, fukuza waziri wa Michezo ......Wachezaji wengi ni mzigo....sio Himid Mao pekee...
Nahodha wa Stars Samata sio kiongozi uwanjani... Zaidi ya kucheza kifadha
MPE unahodha hata Yondan..au Erasto Nyoni.. Anaweza kuhamasisha wenzake wakiwa mchezoni
Kocha huna...nahodha huna....vunja Benchi lote la ufundi waende wakafanye Siasa
Mengine tafakari kwa upole...utajua hatukuwa na Kikosi cha maana
[emoji23][emoji23]Baba ake alikuwa mchezaji mahiri wa pamba huyu mtoto wake atakuwa amerithi tabia za mama ake
NEC, DEDs, etc wote kawaacha Tanzania,Unataka Stars ishinde Kama CCM
Halafu Polisi umewaacha Tanzania
Hapa Makonda alijichanganya[emoji23]