ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Unapofanikiwa kufaulu written/alternative practical na kwenda hatua ya oral interview Basi jiandae hivi unapokuwa mbele ya panel
1.kama kada yako inahusisha kazi ambazo Mara nyingi mtakuwa site Basi vaa kawaida usivae suti ukawa smart Sana kupitiliza. vaa viatu vya site Kama Ni boot,cardet n.k
2.zijue njia mbadala au vifaa mbadala vya kufanyia kazi yako endapo vile mlivosoma chuo vitakuwa havipo site.yaani kwa mfano kifaa labda Ni kibovu je Kuna njia gani nyingine za kufanya ili boss wako apate kile alichokutuma.tena sio kifaa kimoja unatakiwa utaje vingi.
3.unapoeleza kitu Tumia Sana mikono kuelekeza Kama Ni swali linalohitaji uelezee kitu ambacho kipo in phases Basi zungusha mikono in cycle way.unaweza kucheki YouTube ziko video zinaelezea hizo body language
4.kamwe usijibu kiswahili.huwa Wana tabia wakitaka ku skip swali na wameona una kwama watajifanya wanakuuliza kiswahili we utaona wamekurahisishia kumbe unapotezwa jibu maswali yote kingereza tu.
5.weka picha yako ya passport nyuma ya cover lako la simu.mkiwa kwenye usaili simu zenu zitakusanywa na kuandikwa majina Sasa fuata maelekezo yote ila usisahau kuweka picha yako nyuma utakuja kunishukuru baadae.
6.hakikisha kwa swali lolote litakalotokea una link na job description yako yaani kwa mfano wametaka uwaelezee background yako ya elimu Basi kwenye kuelezea uzoefu wako kwenye kada husika taja zile job description zote ulifanyaje ulipokuwa Field.hakikisha unazitaja ofisi au site ulizokuwepo
7.usicheke cheke nao Sana yaani japokuwa mwanzoni kwenye maandalizi ya kuanza usaili watakutaka utabasamu ila wewe usitabasamu fanya yako Kisha tembea
8.kama watakutaka uendelee kutaja points nyingi Zaidi unaweza kuwa crush kdg kwa kuwaambia kuwa hizo ndizo unazokumbuka ila uwe una uhakika ushataja zike main Kama Ni Tano zitaje zote ila wakikutaka uendelee tu kutaja watanie kdg kwa kutabasamu"sir that is all what I remember [emoji16]"
9.tegemea maswali yafuatayo.education background,hazard zinazoweza kutokea kazini kwako kwenye ishu unazoshughulikia,vifaa unavotumia kazini,plan b za kufanya endapo hivo vifaa vitakuwa vibovu, application ya kada yako.
10.jisajili katikati,huwa Kuna karatasi ya kuandika majina then mnakuwa mnaitwa usijisajili mwanzoni au mwishoni sana.kingine unapokuwa kwenye written ili mchujwe usije kuthubutu kuchora kwa pen,usiache swali Bora ujibu chochote kuliko kuacha wazi.natumaini mtakuwa mmejifunza kitu nime share na nyinyi baada ya kufanya katafiti kadogo kwa watu km watano waliofanikiwa kufaulu hizo oral haka ndio kauzoefu changu.