isco francisco
Member
- Aug 25, 2017
- 78
- 146
safi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole haikua riziki ykMpaka nikapiga chanjo (nikaliongelea kwenye interview pale waliponiuliza kama niko fresh) ili nionekane mzalendo lakini wapi
Naamini hvy
[emoji23][emoji23]Uzi mzuri sema wachangiaji wachache..Ingekua "NAMNA YA KUICHAKATA PAPUCHI MPAKA ITOKE MOSHI" sahivi ingeshafika wachangiaji 300.
Big Up Mtoa Mada..
Uzi mzuri sema wachangiaji wachache..Ingekua "NAMNA YA KUICHAKATA PAPUCHI MPAKA ITOKE MOSHI" sahivi ingeshafika wachangiaji 300.
Big Up Mtoa Mada..
FactJamaa ametaja kwa kada yake.
Ushauri wangu. Usikariri hizi points. Namaanisha zielewe ila usije komaa nazo ukaamini ndicho utakachokuta.
Washkaji nje walidai job description itakuepo, na kwamba kwenye oral wana tabia ya kurudisha swali moja la written kwenye oral.
Lakini haikua hivyo.
So siyo mbaya kujua lakini usikariri kama vile ndiyo hizo ishu tu. Pia kuna kada hazina hizo ishu za vifaa mbadala n.k. so just stay sharp
Shukurani sanaOngera mtoa uzi umenikumbusha ile siku ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuingia oral mungu mkubwa nilipiga maswali yote mungu mkubwa nkapata kazi, kikubwa wadau tujiandae bila kusahau express your self ilo la kwanza, kingine duties & responsibilities muhimu usikariri bali zielewe tu coz itakusaidia ikitokea umezisahau so utatunga kingereza chako mwisho utapata pointi ya kuandika, but kikubwa usisahau kusoma maswali yale ya class mfano wewe mtu wa akaunti basi pitia pitia vile vitu vidogo dogo mfano elements of balance sheets, principles of accounting n.k nina amini kila mtu ana uwezo wa kupata kazi utumishi tujiandae vzur ila tukumbuke na kuomba mungu muhimu sana
Sure...me nimejikita Sana kwenye ma technian(mafundi mchundo)...na course nyingine za engineering'sJamaa ametaja kwa kada yake.
Ushauri wangu. Usikariri hizi points. Namaanisha zielewe ila usije komaa nazo ukaamini ndicho utakachokuta.
Washkaji nje walidai job description itakuepo, na kwamba kwenye oral wana tabia ya kurudisha swali moja la written kwenye oral.
Lakini haikua hivyo.
So siyo mbaya kujua lakini usikariri kama vile ndiyo hizo ishu tu. Pia kuna kada hazina hizo ishu za vifaa mbadala n.k. so just stay sharp
Naposema picha ya passport namaanisha nyuma ya cover la simu Kama NI la glassKingine jamaa anasema ukijiandikisha jiweke katikati.
Mimi sikukuta hivyo nilikuta majina wameyaprint wenyewe yaani nani wa kati au wa mwisho wameamua wenyewe.
Pia simu anakaa nazo secretary yaani yeye ndiye utampa na ndiye atakurudishia. No way panel itaona sura yako kupitia simu.
Nafikiri hisi ishu hazina formula. Panel ilisema yenyewe inamchukua atakayetop wote so kama siku hiyo umeamka vizuri basi ndiyo siku yako imefika
Naelewa bro ila sasa simu anakua nazo secretary yaani kama idea ni picha ifike kwenye panel hiyo plan inaota mbawa.Naposema picha ya passport namaanisha nyuma ya cover la simu Kama NI la glass
[emoji106] kweli asee nilibugi hio point..uko sahihiNaelewa bro ila sasa simu anakua nazo secretary yaani kama idea ni picha ifike kwenye panel hiyo plan inaota mbawa.
Yaani simu tulikabidhia nje muda ambao hata panel haijajikusanya, simu zikawekwa kwenye mfuko. Kwahiyo ukiwa unaingia anatafuta simu yako anaiweka mezani utakapokaa.
Ukiwa unaondoka unanyanyuka nayo. So simu haiguswi wala haionwi na panel labda kama zamani ilikua inawezekana.
Pamoja bro[emoji106] kweli asee nilibugi hio point..uko sahihi
Noted!!!!!Unapofanikiwa kufaulu written/alternative practical na kwenda hatua ya oral interview Basi jiandae hivi unapokuwa mbele ya panel
1.kama kada yako inahusisha kazi ambazo Mara nyingi mtakuwa site Basi vaa kawaida usivae suti ukawa smart Sana kupitiliza. vaa viatu vya site Kama Ni boot,cardet n.k
2.zijue njia mbadala au vifaa mbadala vya kufanyia kazi yako endapo vile mlivosoma chuo vitakuwa havipo site.yaani kwa mfano kifaa labda Ni kibovu je Kuna njia gani nyingine za kufanya ili boss wako apate kile alichokutuma.tena sio kifaa kimoja unatakiwa utaje vingi.
3.unapoeleza kitu Tumia Sana mikono kuelekeza Kama Ni swali linalohitaji uelezee kitu ambacho kipo in phases Basi zungusha mikono in cycle way.unaweza kucheki YouTube ziko video zinaelezea hizo body language
4.kamwe usijibu kiswahili.huwa Wana tabia wakitaka ku skip swali na wameona una kwama watajifanya wanakuuliza kiswahili we utaona wamekurahisishia kumbe unapotezwa jibu maswali yote kingereza tu.
5.weka picha yako ya passport nyuma ya cover lako la simu.mkiwa kwenye usaili simu zenu zitakusanywa na kuandikwa majina Sasa fuata maelekezo yote ila usisahau kuweka picha yako nyuma utakuja kunishukuru baadae.
6.hakikisha kwa swali lolote litakalotokea una link na job description yako yaani kwa mfano wametaka uwaelezee background yako ya elimu Basi kwenye kuelezea uzoefu wako kwenye kada husika taja zile job description zote ulifanyaje ulipokuwa Field.hakikisha unazitaja ofisi au site ulizokuwepo
7.usicheke cheke nao Sana yaani japokuwa mwanzoni kwenye maandalizi ya kuanza usaili watakutaka utabasamu ila wewe usitabasamu fanya yako Kisha tembea
8.kama watakutaka uendelee kutaja points nyingi Zaidi unaweza kuwa crush kdg kwa kuwaambia kuwa hizo ndizo unazokumbuka ila uwe una uhakika ushataja zike main Kama Ni Tano zitaje zote ila wakikutaka uendelee tu kutaja watanie kdg kwa kutabasamu"sir that is all what I remember [emoji16]"
9.tegemea maswali yafuatayo.education background,hazard zinazoweza kutokea kazini kwako kwenye ishu unazoshughulikia,vifaa unavotumia kazini,plan b za kufanya endapo hivo vifaa vitakuwa vibovu, application ya kada yako.
10.jisajili katikati,huwa Kuna karatasi ya kuandika majina then mnakuwa mnaitwa usijisajili mwanzoni au mwishoni sana.kingine unapokuwa kwenye written ili mchujwe usije kuthubutu kuchora kwa pen,usiache swali Bora ujibu chochote kuliko kuacha wazi.natumaini mtakuwa mmejifunza kitu nime share na nyinyi baada ya kufanya katafiti kadogo kwa watu km watano waliofanikiwa kufaulu hizo oral haka ndio kauzoefu changu.