Hints za kufaulu Oral Interview za Sekretariet ya Utumishi wa Umma

Jamaa ametaja kwa kada yake.

Ushauri wangu. Usikariri hizi points. Namaanisha zielewe ila usije komaa nazo ukaamini ndicho utakachokuta.

Washkaji nje walidai job description itakuepo, na kwamba kwenye oral wana tabia ya kurudisha swali moja la written kwenye oral.

Lakini haikua hivyo.

So siyo mbaya kujua lakini usikariri kama vile ndiyo hizo ishu tu. Pia kuna kada hazina hizo ishu za vifaa mbadala n.k. so just stay sharp
 
Fact
 
Kingine jamaa anasema ukijiandikisha jiweke katikati.

Mimi sikukuta hivyo nilikuta majina wameyaprint wenyewe yaani nani wa kati au wa mwisho wameamua wenyewe.

Pia simu anakaa nazo secretary yaani yeye ndiye utampa na ndiye atakurudishia. No way panel itaona sura yako kupitia simu.

Nafikiri hisi ishu hazina formula. Panel ilisema yenyewe inamchukua atakayetop wote so kama siku hiyo umeamka vizuri basi ndiyo siku yako imefika
 
Ongera mtoa uzi umenikumbusha ile siku ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kuingia oral mungu mkubwa nilipiga maswali yote mungu mkubwa nkapata kazi, kikubwa wadau tujiandae bila kusahau express your self ilo la kwanza, kingine duties & responsibilities muhimu usikariri bali zielewe tu coz itakusaidia ikitokea umezisahau so utatunga kingereza chako mwisho utapata pointi ya kuandika, but kikubwa usisahau kusoma maswali yale ya class mfano wewe mtu wa akaunti basi pitia pitia vile vitu vidogo dogo mfano elements of balance sheets, principles of accounting n.k nina amini kila mtu ana uwezo wa kupata kazi utumishi tujiandae vzur ila tukumbuke na kuomba mungu muhimu sana
 
Shukurani sana
 
Sure...me nimejikita Sana kwenye ma technian(mafundi mchundo)...na course nyingine za engineering's
 
Naposema picha ya passport namaanisha nyuma ya cover la simu Kama NI la glass
 
Naposema picha ya passport namaanisha nyuma ya cover la simu Kama NI la glass
Naelewa bro ila sasa simu anakua nazo secretary yaani kama idea ni picha ifike kwenye panel hiyo plan inaota mbawa.

Yaani simu tulikabidhia nje muda ambao hata panel haijajikusanya, simu zikawekwa kwenye mfuko. Kwahiyo ukiwa unaingia anatafuta simu yako anaiweka mezani utakapokaa.

Ukiwa unaondoka unanyanyuka nayo. So simu haiguswi wala haionwi na panel labda kama zamani ilikua inawezekana.
 
[emoji106] kweli asee nilibugi hio point..uko sahihi
 
Noted!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…