Hints za kufaulu Oral Interview za Sekretariet ya Utumishi wa Umma

Hvi wadau kule UTUMISHI oral interview unapewa kiti ukae au unasimama huku wakkung'aza vzuri unavyojiumauma?
 
Sisemi msifanye interview, sitakuja kufanya mahojiano(interview) Ili nipewe kitu, Kufanyishwa interview ni utumwa. Fungua biashara anzisha kampuni kwisha.

Muhimu Sana ni kuanza Kwa kitu kidogo kabisa. Watu tunadharau mia, elfu, nk Anza hata kuuza miwa, usijikweze, usione aibu.

Acha kuishi maisha ya watu wengine. Anza wewe kama wewe. Uwe na focus/malengo na yawe makubwa.
 
Ni kweli kujiajir ni vizuri lakini wangapi wameanza na miwa Sasa wanakipato kuliko hao wanaohangaika kwenye interview ?? mzeee kikubwa ni kupata Hela iwe kujiajir au kuajiriwa so wewe kama una mda wa kwenda kwenye interview nenda Kama huna time sawa wengine wataenda
 
Yeah upo sahihi mkuu ila Mimi Toka niajiriwe Nina mWaka hivi ila nishashika zaidi ya millioni Kimi je muuza miwa anaweza kuipata hiyo..jibu NI kwamba kuajiriwa then ukajiajiri ndo Bora zaidi kwani utafanya biashara kubwa...na kuajiriwa NI haki ya wote waliosoma na kuhitimu mafunzo Yao...na pia watu maofisini wanakufa na kustaaf.. mwenye kupata apate na Ili kupata sharti utafute(interview)
 
Ndo maana elimu yetu baada ya mda unaweza kuwa chizi kama sio mgonjwa wa akili unasoma mambo magumu chuo "topology" unakariri mpaka ubongo unakuwa wazi ,unarudi mtaani unapambana na maisha ,ujasiriamali ,hapa na pale familia ,mwishoni unaenda interview upewe tena mtihani ya ulichofaulu miaka iliyopita sasa sijui utakuwa umesoma mda gani , this is very sad"
"Tunapambana na maisha wao wanatusubir watusaili na maswali "

Elimu yetu inabidi waangalie namna ya kubadili interview hizi maadam umekiz vigezo kama walimu nao wanavyoajiriwa.

Hakuna binadamu asiesahau hasa maskini anaepambana na maisha ya mguu wake juani na mvua.

#Uzi mzuri na unasaidia sana wengine tushachoka hata na ajira portal yenyewe#

"Bachelor of science in mathematics"
Hii coarse ni kama watot wa maskini tumeibiwa 19 years in class
More information about these...
 
Us
Usikate tamaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…