Hio ndio Real Madrid iliyowahi kuwa bora zaidi duniani

ketone

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2016
Posts
509
Reaction score
655
Wakubwa wenzangu mimi ninaamini kwa.miaka yetu ile hii ndio real mardid bora zaidi iliyowahi kutokea duniani..hebu wakuu leta maoni yenu hapa
 
jua hapo ivan campo yupo benchi...morientes...guti
 
Toeni utumbo wenu hapa., sio kila mtu anapenda mpira.., especially ushabiki wa timu za nchi ambazo hata hujawahi tia mguu.., pelekeni jukwaa la michezo huko
 
Kipindi hiki kilikua lulu kwelikweli, ila hii timu imependelewa hakuna mwaka inakua mbovu kabisa japo hua inapitia vipindi vigumu...
 
Hapo kulikuwa kuna watu hatar wapo benchi kama Steve mc macmanaman, Fernando Redondo, makelele,
 
Sababu wachezaji bora Wa timu kubwa walikuwa wamejoin timu kubwa.. Usinikumbushie Juventus ya kina Vieri,Jugovic,Peruzzi, Del Piero,Ravanelli,Conte,Lombardo,Deschamps, Paulo Sousa,Di Livio,
 
Sababu wachezaji bora Wa timu kubwa walikuwa wamejoin timu kubwa.. Usinikumbushie Juventus ya kina Vieri,Jugovic,Peruzzi, Del Piero,Ravanelli,Conte,Lombardo,Deschamps, Paulo Sousa,Di Livio,
ahaaa
.ila dechamps alitokea chelsea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…