Sasa hapa Ndiyo Umeuliza nini na Umeongea nini? ulichotaka wewe ni Nani Aliyesajili Mwanzo, au Unachotaka wewe ni aliyesajili tu?
Barcelona Katengeneza Figo mpaka Akawa na Jina, Hatimae Real Kamnyakua Figo Mwenye Jina na Kumsajili....
Bacelona huyu huyu Kamtengeza Ronaldo Mpaka Kawa na Jina, Hatimae inter/Real Kamnyakuwa Na Kumsajili Ronaldo mwenye Jina.....
Man U wamemtengeza Beckam na Ronaldo Mpaka Wamekuwa na Majina! Hatimae Real Kasajili....
The Same Kwa Kaka, McManaman, Owen, Anelka, Zedane.....
Sasa Hapo Nani Mkali Wa Kusaini....?
Mkuu Nahisi Ungefafanua Kuwa Barcelona ni Mkali Wa Kuibua Vipaji tu na Wala Si Wakusaini....
Halfu Mkuu inaonesha Hujawahi Muona Maradona Aliyeichezea Barcelona! Huyu Alikuwa ni Sawa na Yule George Apong Weah aliyeichezea Chelsea.....
Maradona alikuja Barcelona Kumalizia Umri Wake tu na Ndiyomaana Kiwango Chake Kwa Wakati Huo Kilimtia Aibu Kwenye Final ya Champion League Kati ya Barcelona vs AC Milan... Unakijua Kiama Kilichowatokea Barcelona kwa Milan????