Hip hop Facts Thread

Hip hop Facts Thread

Nataka kuanza kusikiliza hip hop ya mambele (kama Marekani, South Africa etc) naombeni list ya wasanii wenye flow ya kufanana na dizasta vina!

Niliwahi jarbu kumsikiliza Eminem ila anavyo flow oiiii mauaji,,
 
According to billboard awa ndio mcs wakali kuwai kutokea duniani




1. BIG POPA

2. Jay Z

3. Eminem

4. Rakim Allah

5. Nas

6. Andre 3000

7. Lauryn Hill

8. GhostFace Killa

9. Kendrick Lamar

10. Lil Wayne
Binafsi nadhani kuna watu tunawakosea heshima bure tu kama hatuwataji:

1. Big Daddy Kane
2. Rakim
3. Ll Cool J
4. KRS-ONE
5. Biggie
 
Back
Top Bottom