Kunywa changu hakiwezi tamka matusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunywa changu hakiwezi tamka matusi
Nani kasema?Technically matusi hayawezi tumika kama vinogesho kama unatoa ujumbe kwa jamii.
Acha uongo.Ndo maana inaitwa muziki wa shetani nadhani umeelewa.
Lengo kuu la hip hop ni kuharibu jamii kwa kupromote:
1. Ushoga,
2. Uzinzi,
3. Ulevi,
4. Vurugu,
5. Ugomvi,
6. Matusi,
7. Starehe, anasa, na maisha bandia.
Huwezi penya kwenye hip-hop industry bila kuuza nafsi yako.
Kuuza nafsi yako kwa shetani kunamaanisha ni kujenga hali ya kushinda-kushinda kati yako na shetani. Shetani anakupa pesa kwa kukufanya kuwa maarufu, yeye ananufaika kwa wewe kuibomoa jamii kupitia nyimbo na video zako ambapo mashabiki zako ndio waumini wataiga kile unachoimba au ulichoshuti.
Upi huoAcha uongo.
Naongezea pia imejaa vijembe na majigambo mithiri ya taarabuMziki wa Hip Hop unafungamanishwa na ugumu yaani u-hardcore, nyimbo nyingi za Hip Hop zinapewa sifa ya kuibadilisha jamii kifikra.
Lakini kwa bahati mbaya sana, wasanii wengi wa mziki wa aina ya Hip Hop hasa hasa kutoka Marekani kwa kila nyimbo wanazoimba basi zinajaa matusi ku.anzia mwanzo hadi mwisho. Wimbo hausongi bila H***s, A****le na matusi mengine mengi.
Kiukweli sielewi hata wanaosema Hip Hop ni mziki bora wanakuwa wanawaza nini. Mtu unasikiliza albamu nzima inasifia Umalaya, Bange na matusi ya nguoni na bado unadahi unapata Elimu?
Kwa bahati mbaya hata hivi vi-subparts vya Hip Hop kama Trap navyo vimebeba ujinga ule ule.
Wanazi wa Hip Hop huwa nyimbo za Hip Hop zinawaelimisha nini wakati zimejaa lugha nzito nzito?
Mifano ya wasanii wa Hip Hop ambao huwa nyimbo zao zimejaa matusi ni kama hawa Lil Wayne, Young Thug, 2Pac Shakur, Ice Cube, Jay-z, Future n.k
Huwezi kuelewa! Its not your world at all,huwezi elewa kitu! We endelea kusikiliza singeli na bongo fleva! Ila Hip hop na reggae am sure its not your worldMziki wa Hip Hop unafungamanishwa na ugumu yaani u-hardcore, nyimbo nyingi za Hip Hop zinapewa sifa ya kuibadilisha jamii kifikra.