CHIZI VITABU
JF-Expert Member
- Jun 12, 2021
- 1,061
- 2,477
Haiwezekani kwenye picha kuwe na kijana tajiri anayemiliki escallade 2 na mi mali kibao yenye thamani kama dollar millions 400 ,kijana ambaye hadi anao ujeuri wa kuwatukana forbes na kuwaambia kama vipi wa m google, kijana ambaye anavaa saa "original" yenye thamani ya milioni 80 na kama haitoshi ni "michael jackson wa africa"
Vilevile kwenye picha kuna mbunge machachari mwenye hoja za kufa mtu huko bungeni,mbunge aliyekubalika kwa watanzania wote bila kujali itikadi zao, mbunge ambaye nawakumbusha watanzania ubora wa kina Tuntemeke sanga, njelu kasaka, phillip marmo ,masumbuko lamwai, tundu lissu nk, mbunge ambaye ana uwezo wa kuzuia mvua na show ikafanyika.
Sasa inakuwaje mtandao maarufu wa hiphop dx una post picha na kuwataj amajina woooteee halafu hawa MASHUJAA WETU wanaandikwa tu na WENGINEO yaani kama vile extras kwenye picha.
***wahuni eeeeeheeee si mnajua sisi ndiyo tunampa tuzo michael jackson wa afrika akituamrisha? sasa kwa niaba yake nawaamrisha tukavamie pages za hiphop dx kuwalalamikia kwa kuidhalilisha bendera ya nchi au kama vipi mheshimiwa mbunge atumie zile nguvu zake za mababu wa kale.