Hiphop punch line

Hiphop punch line

DMmasi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2020
Posts
561
Reaction score
900
"Unamuona mlupo kisa ulimgonga kwa mshiko,
Anakuomba madusko anahonga batonga anagonga vitu,
Unamuita darling au wife mama mamito, Unapata habari za wanafiki kuna walafi wanamla hadi jicho

Unaemtaka haumpati utampata wapi,Anaekutaka hautaki haumpi nafasi....”
#fidQ #ulimimbili

shuka na yako kibingwa
 
Kasongo yeyee..mombali nangaa,, kasongo mbona wewooh,,songali nangaa,,wo- yeyee,, yeyee,,kasongo mbona weweeeh,,mbona wewoooooh..!!? Songali nangaai...

Atalia mama yake kama anaeee..
 
Vinapanda beo Kila siku vitu Vinapanda bei we mama weee- by bladkey
 
Kasongo yeyee..mombali nangaa,, kasongo mbona wewooh,,songali nangaa,,wo- yeyee,, yeyee,,kasongo mbona weweeeh,,mbona wewoooooh..!!? Songali nangaai...

Atalia mama yake kama anaeee..
iyo atalia mama yake ndomana ya kasongo.......😃
 
Protocols za viwanja.

Agiza kinywaji lipia kabla hujalewa, kuna manzi anaingia muite ka' umemuelewa.../

Awe peke yake asiwe na kampani za mashosti, akisepa bila kuliwa sio mtaani hadi insta ataku post.../

Huku viwanja tuna utamaduni, demu hata akukatae haturushi ngumi.../

Cheo chako hakina nafasi kwenye maeneo ya wahuni, na ndio maana vibopa hawatupoli mademu kwa jeuri ya uchumi.../

Unakuja bar na bunduki, watu wanakushangaa na haustuki.../

Basi unajiona star kumbe mamluki, we ni mavi ya kale huna kinyaa na haunuki.../

Dedicated to Derick
 
Hakuna papara taratibu tunabang tumeegemea ukuta, shori akijichanganya na kiuno kigumu spana tumebeba walah hatojuta..../
 
Mwanangu unazingua;
Acha kujichetua; Mtoto wa kishua;
mbana pua;

Hapa ni kilinge, punch line tuzitunge
Iwe kiswahili au kinge
Hakuna kwenda tenge
Kuwaza posho ka mbunge; acha wenge
Bob zima fegi unakatiza feeling station
chuma hasimami dandia ikiwa kwenye motion
Hiphop ni herufi 6 usipo elewa darasani karibu kitaa tukupe tution

Nataka mje kama sita watano ntawakalisha mmoja ntavunja mbavu apeleke tarifa,
Zikifika wakichelewa walah sito sita naweza zika mwenyewe au nikasafirisha
Kwenye kuta zao utaikuta nembo, mic nimeishika siyo kuwakilisha tuu mitaa naipaisha
 
Mi ndo mwana wa mama aliyenifunza,
Kwamba hakuna maisha bora kwa kijana asiyejitunza,
Hakuna maisha bora kwa kijana asiyejifunza,
Kujifunza hakuna maana kwa kijana usiyejituma...
One - soga za mzawa
 
Mnataka nini wazee, nasikia mnataka punch line,
Niwape diss pekee, au hata nyeusi thats fine,
Ntachana mtaitikie ee, au nkikosea mtanipa sign,
Nkimaliza tutafanya shereh, na tutawaka kama sio kushine,
Sas mnambie niendelee, au naanza kutembea nje ya line,
 
Back
Top Bottom