Felix King Zaman
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 125
- 117
Fafanua..Hip hop ngumu wanawaza kulamba nanihino za wazungu tu....na kuibukia nje ya inji hiii..
ngumu,nyeusi, hip hop,hardcore akihama anaskiza raggae harakati za akina onex hawataki shule..wala kujisomea vitabu...al tym night club na u fly catcher wa kuwalamba mabibi wa kizungu....Fafanua..
Hata sikuelewi naona matusi tu.ngumu,nyeusi, hip hop,hardcore akihama anaskiza raggae harakati za akina onex hawataki shule..wala kujisomea vitabu...al tym night club na u fly catcher wa kuwalamba mabibi wa kizungu....
Commercial wasomi wanapiga hela mziki mzuri maisha yanasonga..
ngumu stress zikizidi hama from bangi harakati ingia kwenye ngada...
mtaishia kuolewa tu mamaeee...
u might have a pointTamaduni ya Tanzania ni singeli tu.
Hizo zingine mbwembwe tu
hip hop is hiphop hakuna nguma wala lainiHaha....tz kuna ngumu na laini.
Ngumu ndiyo kina tamaduni..waturutumbi..watengwa..n.k
Laini..weusi na solo artists kibao FA..AY [emoji23][emoji23][emoji23]
sielewagi kwann watu hua mnaongelea vitu msivyovijua kwakweli,ts stupid and shamefulngumu,nyeusi, hip hop,hardcore akihama anaskiza raggae harakati za akina onex hawataki shule..wala kujisomea vitabu...al tym night club na u fly catcher wa kuwalamba mabibi wa kizungu....
Commercial wasomi wanapiga hela mziki mzuri maisha yanasonga..
ngumu stress zikizidi hama from bangi harakati ingia kwenye ngada...
mtaishia kuolewa tu mamaeee...
ngumu,nyeusi, hip hop,hardcore akihama anaskiza raggae harakati za akina onex hawataki shule..wala kujisomea vitabu...al tym night club na u fly catcher wa kuwalamba mabibi wa kizungu....
Commercial wasomi wanapiga hela mziki mzuri maisha yanasonga..
ngumu stress zikizidi hama from bangi harakati ingia kwenye ngada...
mtaishia kuolewa tu mamaeee...
hip hop is hiphop hakuna nguma wala laini
huo ndo huo ujinga mnaolazimishwa kuamini na hzo redio mbao kama mawingu fm
tujifunze kufuatilia mambo otherwise tuache kuyaoingelea sababu tutakua tunapotosha kama ulivyofanya ww hapa
Jamaa sijamwelewa kabisaAcha jealous mzeiya sio lazima upost
, track inaitwa hiphop is alive kama sikosei yupo na marley.Kama we sio mwanahip hop huwezi kujua hip hop nini.
Krs one kwenye moja ya nyimbo zake anasema "hip is the knowledge hop is the movement, hip and hop is intelijent movement."
Hip hop INA nguzo zake na moja kati ya nnguzo hizo ni rap, so sio kira anayerap ni mwanahip hop, kala pina kwenye moja ya nnyimbo zake amewahi kusema kurap wanarap hata waimba mayeno, tatizo hapa kwetu hawajui hip hop ni nini, matokeo take wanaishia kusema vibaya juu ya hip hop,
Kwa mfano ukimsoma Stamina na Nay WaMitego utaona kuna utofauti katika mziki wa hiphop ambayo wanafanya, track inaitwa hiphop is alive kama sikosei yupo na marley.
Ebu mJibu mtoa mada..
Sanaa ya bung'aa.Unaongelea hivi vitu?
[emoji817]