HipHop Tanzania

HipHop Tanzania

Felix King Zaman

Senior Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
125
Reaction score
117
Shikamoo wakuu
Nimekuwa nikifanya utafiti ili kuweza kujua mgawanyiko wa mziki wa Hiphop katika taifa letu la Tanzania
Katika pitapita zangu mitaani nimeskia eti kuna tamaduni mziki, hiphop katuni na kadhalika
Tafadhali naomben muweze kunipa uhalisi na ikiwezekana majina ya wasanii wanaofanya hizi aina ya hiphop.
 
Unaongelea hivi vitu?
watengwa.jpg
300x300.jpg

[emoji817]
 
Hip Hop aina ya maisha ya wamarekani weusi, na mziki ukijumuishwa humo.

Wa Tz tumeupokea tunaufanya, ndo hivyo watu wanaufanya kinamna yao ndo inatokea hip hop katuni, komesho n.k
 
Haha....tz kuna ngumu na laini.
Ngumu ndiyo kina tamaduni..waturutumbi..watengwa..n.k

Laini..weusi na solo artists kibao FA..AY [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Fafanua..
ngumu,nyeusi, hip hop,hardcore akihama anaskiza raggae harakati za akina onex hawataki shule..wala kujisomea vitabu...al tym night club na u fly catcher wa kuwalamba mabibi wa kizungu....

Commercial wasomi wanapiga hela mziki mzuri maisha yanasonga..

ngumu stress zikizidi hama from bangi harakati ingia kwenye ngada...

mtaishia kuolewa tu mamaeee...
 
Hata sikuelewi naona matusi tu.
 
Haha....tz kuna ngumu na laini.
Ngumu ndiyo kina tamaduni..waturutumbi..watengwa..n.k

Laini..weusi na solo artists kibao FA..AY [emoji23][emoji23][emoji23]
hip hop is hiphop hakuna nguma wala laini
huo ndo huo ujinga mnaolazimishwa kuamini na hzo redio mbao kama mawingu fm
tujifunze kufuatilia mambo otherwise tuache kuyaoingelea sababu tutakua tunapotosha kama ulivyofanya ww hapa
 
ngumu,nyeusi, hip hop,hardcore akihama anaskiza raggae harakati za akina onex hawataki shule..wala kujisomea vitabu...al tym night club na u fly catcher wa kuwalamba mabibi wa kizungu....

Commercial wasomi wanapiga hela mziki mzuri maisha yanasonga..

ngumu stress zikizidi hama from bangi harakati ingia kwenye ngada...

mtaishia kuolewa tu mamaeee...
sielewagi kwann watu hua mnaongelea vitu msivyovijua kwakweli,ts stupid and shameful
 
ngumu,nyeusi, hip hop,hardcore akihama anaskiza raggae harakati za akina onex hawataki shule..wala kujisomea vitabu...al tym night club na u fly catcher wa kuwalamba mabibi wa kizungu....

Commercial wasomi wanapiga hela mziki mzuri maisha yanasonga..

ngumu stress zikizidi hama from bangi harakati ingia kwenye ngada...

mtaishia kuolewa tu mamaeee...

Acha jealous mzeiya sio lazima upost
 
hip hop is hiphop hakuna nguma wala laini
huo ndo huo ujinga mnaolazimishwa kuamini na hzo redio mbao kama mawingu fm
tujifunze kufuatilia mambo otherwise tuache kuyaoingelea sababu tutakua tunapotosha kama ulivyofanya ww hapa

Umechangia kwa hasira kubwa

Mkuu nilicomment kimzaha maana mada ilikaa kimzaha. Yeah nakubaliana na wewe Hip is hiphop ila hili halizizuii ndani yake kugawanyika katika genres zake ndogo ndogo! ! Au wewe unaelewaje kuhusu hardcore..revolutionary..gangstar...???
 
Kama we sio mwanahip hop huwezi kujua hip hop nini.
Krs one kwenye moja ya nyimbo zake anasema "hip is the knowledge hop is the movement, hip and hop is intelijent movement."
Hip hop INA nguzo zake na moja kati ya nnguzo hizo ni rap, so sio kira anayerap ni mwanahip hop, kala pina kwenye moja ya nnyimbo zake amewahi kusema kurap wanarap hata waimba mayeno, tatizo hapa kwetu hawajui hip hop ni nini, matokeo take wanaishia kusema vibaya juu ya hip hop,
 
, track inaitwa hiphop is alive kama sikosei yupo na marley.

Ebu mJibu mtoa mada..
 
Kwa mfano ukimsoma Stamina na Nay WaMitego utaona kuna utofauti katika mziki wa hiphop ambayo wanafanya
Stamina anafanya conscious music.. Ila Nay sijui anaimba nini..lakin zote hiphop..
 
Hip hop ni zaidi ya rap, rap ipo ndani ya hip hop hip hop inaweza isiwe ndani ya rap..Mf, nyimbo mpya ya torati ya mtaa ya umbwa imemhusisha mwanahiphop chindoman na rapper dully
 
Back
Top Bottom