Kuita conscious au unconscious au bubblegum hip hop inategemea na audience brother. Kuna wanaita muziki wa Ney conscious pia kuna wanaouita bubblegum.Kwa mfano ukimsoma Stamina na Nay WaMitego utaona kuna utofauti katika mziki wa hiphop ambayo wanafanya
Stamina anafanya conscious music.. Ila Nay sijui anaimba nini..lakin zote hiphop..
Nimekusoma mkuu hahhKuita conscious au unconscious au bubblegum hip hop inategemea na audience brother. Kuna wanaita muziki wa Ney conscious pia kuna wanaouita bubblegum.
Ieleweke mziki wa rap ni majigambo toka kitambo. Na mtambaji always he tries to drive all point at home. [emoji3][emoji3]
Ninachojua ni kwamba ARUSHA wanachana "HIPHOP NGUMU" tokea miaka hiyooo.Shikamoo wakuu
Nimekuwa nikifanya utafiti ili kuweza kujua mgawanyiko wa mziki wa Hiphop katika taifa letu la Tanzania
Katika pitapita zangu mitaani nimeskia eti kuna tamaduni mziki, hiphop katuni na kadhalika
Tafadhali naomben muweze kunipa uhalisi na ikiwezekana majina ya wasanii wanaofanya hizi aina ya hiphop.
Je Mwanza na Moro wanachana hiphop gani?Ninachojua ni kwamba ARUSHA wanachana "HIPHOP NGUMU" tokea miaka hiyooo.
Hiyo HipHop wanayotaka kuianza kina Bob juniour mkata mauno ni ya Dsm hiyo.
Mkuu mbona unasahau Mwanza na MoroHip hop ipo Arusha, dar wanatuyeyusha. Mara ma-MC mashoga,Mc waoga-Chindoman 'Umbwa'