HipHop Tanzania

HipHop Tanzania

Kibongo bongo hiphop nyeus inasoko kubwa na kupendwa zaid ya hiphop ngumu muulize kalapina..
 
Kwa mfano ukimsoma Stamina na Nay WaMitego utaona kuna utofauti katika mziki wa hiphop ambayo wanafanya
Stamina anafanya conscious music.. Ila Nay sijui anaimba nini..lakin zote hiphop..
Kuita conscious au unconscious au bubblegum hip hop inategemea na audience brother. Kuna wanaita muziki wa Ney conscious pia kuna wanaouita bubblegum.

Ieleweke mziki wa rap ni majigambo toka kitambo. Na mtambaji always he tries to drive all point at home. [emoji3][emoji3]
 
Nimekusoma mkuu hahh
 
Shikamoo wakuu
Nimekuwa nikifanya utafiti ili kuweza kujua mgawanyiko wa mziki wa Hiphop katika taifa letu la Tanzania
Katika pitapita zangu mitaani nimeskia eti kuna tamaduni mziki, hiphop katuni na kadhalika
Tafadhali naomben muweze kunipa uhalisi na ikiwezekana majina ya wasanii wanaofanya hizi aina ya hiphop.
Ninachojua ni kwamba ARUSHA wanachana "HIPHOP NGUMU" tokea miaka hiyooo.

Hiyo HipHop wanayotaka kuianza kina Bob juniour mkata mauno ni ya Dsm hiyo.
 
Hip hop ipo Arusha, dar wanatuyeyusha. Mara ma-MC mashoga,Mc waoga-Chindoman 'Umbwa'
 
Back
Top Bottom