Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Ninawaza kwa sauti kubwa saana hapa, nimeona clip nyingi watu wakipiga kelele kisa ku droo na al hilal 😂😂,
Hivi wana feli wapi? Wana yanga wana imani kubwa sana na kikosi chao lakini wanashangaa walivyotaabika jana almanusura wapasuke wamshukuru diara.
Wana yanga wana amini sana kwamba simba ni wabovu sasa wanawezaje kupepea Caf champion league?
Msimu uliopita simba alikua mbovu haswaa akadondokea shirikisho lakini aliweza kufika mpaka robo fainal kwa ule ubovu wao yanga wanapiga mahesabu mbona sisi tuna kikosi kizuri? Mbona tunashindwa? Lakini wanakosa majibu.
Mimi najua kabisa na ubovu woote wa simba hawa al hilal wasingefurukuta hata kidogo..
Wakuu kwanini simba kimataifa wanajitahidi? Yanga tunakwama wapi?
Tusameheni tuliona ni rahisi mlivyofika robo fainal naona hata group stage sisi inatushinda 🤣🤣