Nyamongo kwao
Member
- Jan 1, 2013
- 48
- 4
Hirizi haiwezi kutibu maradhi wala kukinga. anayetibu Maradhi na kukinga ni Mwenyeezi Mungu. Hirizi nzuri ya Kukinga wewe na Maradhi na kukutibu ni kama wewe ni muislam soma Quran kama wewe ni mkristo soma Biblia hizo ndio Hirizi nzuri hazina wasiwasi ndani yake.Wanajf Hirizi inaweza kumtibu mtu maradhi yake na kumkinga mikosi?
Kuanzia lini kitambaa cheusi kilivhoviringishwa matakataka ndani kikawa tiba na kinga?Wanajf Hirizi inaweza kumtibu mtu maradhi yake na kumkinga mikosi?
Hirizi haiwezi kutibu maradhi wala kukinga. anayetibu Maradhi na kukinga ni Mwenyeezi Mungu. Hirizi nzuri ya Kukinga wewe na Maradhi na kukutibu ni kama wewe ni muislam soma Quran kama wewe ni mkristo soma Biblia hizo ndio Hirizi nzuri hazina wasiwasi ndani yake.
Kitambaa cheusi kilichofungwa mkaa kinakuwa ni uchawi Sayansi ya Kiafrika hakiwezi kuwaNajaribu kufikiria kwa sauti, kitambaa cheusi kilichofunga mkaa na ndimu kiwe kinga au tiba. Hii biolojia inabidi nikamuulize mwalimu wangu wa PCB
Hirizi haiwezi kukutibu inayokutibu ni Dawa Bibie King'asti Hirizi ukiwa nayo kwa muda fulani inageukaInaweza kumtibu.
Iwapo kama mhanga anaumwa kutokujiamini. Kuna mtu ana potential ya uongozi, ila asipovaa hirizi hajiamini anaharibu kazi. Haina tofauti na imani ya sala. Inakupa ujasiri kuwa nilishaomba kwa Mola na atanijalia bila kuchelewa wala kuwahi