Hirizi inatibu au kuponya?

Hirizi inatibu au kuponya?

Wanajf Hirizi inaweza kumtibu mtu maradhi yake na kumkinga mikosi?
Hirizi haiwezi kutibu maradhi wala kukinga. anayetibu Maradhi na kukinga ni Mwenyeezi Mungu. Hirizi nzuri ya Kukinga wewe na Maradhi na kukutibu ni kama wewe ni muislam soma Quran kama wewe ni mkristo soma Biblia hizo ndio Hirizi nzuri hazina wasiwasi ndani yake.
 
Inaweza kumtibu.
Iwapo kama mhanga anaumwa kutokujiamini. Kuna mtu ana potential ya uongozi, ila asipovaa hirizi hajiamini anaharibu kazi. Haina tofauti na imani ya sala. Inakupa ujasiri kuwa nilishaomba kwa Mola na atanijalia bila kuchelewa wala kuwahi
 
Hakika wewe wasema
 
Najaribu kufikiria kwa sauti, kitambaa cheusi kilichofunga mkaa na ndimu kiwe kinga au tiba. Hii biolojia inabidi nikamuulize mwalimu wangu wa PCB
 
Najaribu kufikiria kwa sauti, kitambaa cheusi kilichofunga mkaa na ndimu kiwe kinga au tiba. Hii biolojia inabidi nikamuulize mwalimu wangu wa PCB
Kitambaa cheusi kilichofungwa mkaa kinakuwa ni uchawi Sayansi ya Kiafrika hakiwezi kuwa

ni kinga anayeweza wewe kukinga ni Mmoja tu peke yake naye ni yule aliyekuumba Mwenyeezi Mungu soma Quran kama wewe ni

Muislam kama wewe ni Mkristo Soma Kitabu cha Biblia mimi hizo ndio silaha zangu kubwa sina hirizi wala chale mwilini mwangu. Nasoma

Vitabu vyote hivyo viwili na hakuna cha mchawi wala Shetani kunisogelea mimi MziziMkavu Hauchimbwi Dawa.
 
Inaweza kumtibu.
Iwapo kama mhanga anaumwa kutokujiamini. Kuna mtu ana potential ya uongozi, ila asipovaa hirizi hajiamini anaharibu kazi. Haina tofauti na imani ya sala. Inakupa ujasiri kuwa nilishaomba kwa Mola na atanijalia bila kuchelewa wala kuwahi
Hirizi haiwezi kukutibu inayokutibu ni Dawa Bibie King'asti Hirizi ukiwa nayo kwa muda fulani inageuka

Jini au shetani na kuanza kukudhuru Hirizi nyingi nijuavyo mimi zina masharti ukivunja masharti unadhurika Mungu hana

Masharti wakati wowote ule unamuomba Mungu na anakupa unachokitaka.

4324506.jpg
 
1016.jpg

1011.jpg
1013.jpg

Kuku mwenye hirizi tatu za rangi tofauti alizua kizaa zaa alipoonekana kwenye maeneo ya hospitali ya Muhimbili na baadae kuingia kwenye madarasa ya chuo kikuu cha Muhimbili.

Back
Top Bottom