Hirizi ya Lwandamina yaonekana mwenyewe akanusha!!

Hirizi ya Lwandamina yaonekana mwenyewe akanusha!!

Tuchangie timu yetu....kocha mbinafsi sana kama Mwinyi unamuweka benchi mechi tano...Gadiel mzuri ila kwenye krosi hamzidi Mwinyi..inabidi atumie typical wingers kama Mwashiuya .Martin na wale madogo wawili..timu haina pace
 
Huu ni mwaka wa kupata vidonda vya tumbo sisi mashabiki wa Yanga.Kocha kufanya sub ni mzito utafikiri hana taalum ya ukocha
 
Back
Top Bottom