Hisa kuelewa

Hisa kuelewa

topr

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
700
Reaction score
654
Wapendwa naomba mwenye uelewa na Hisa anieleweshe nataka niingui kwenye biashara ya ununuaji Wa Hisa
Pia ni Hisa za kampuni gani zinafaida na ukiwa na kiasi gani cha Pesa?
Nawakilisha naombeni elimu hii.
 
Back
Top Bottom