Chiefmweusi
Member
- Sep 21, 2012
- 87
- 9
duuh hatare
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwel mkuu hata NMB zmeshuka sanaCo CRDB tu bank zote za kibiashara
Kwel mkuu hata NMB zmeshuka sana
Tutaanza kuheshimiana tu...mteja wa bank atakuwa mfalme kweli sasa.
serikali pia lazima iwe makini na bank mama za hii nchi..NMB na CRDB zikifa uchumi wa nchi utashake pia,imagine transaction za NMB na CRDB kwa siku moja ni sh ngapi ,mwisho wa mwezi ndio inakuwa hatari zaidi.Uchambuzi mzuri, bank nyingi zita athirika na huo uamuzi wa serekali na Hilo Lita saidia benki kuwa wabunifu zaidi
.kama kumbukumbu zangu ziko sawa magufuli alisema aliambiwa na kimei kuhusu pesa nyingi serikali kuwa kwny commercial banks