Hisa za CRDB kushuka!!

Uchambuzi mzuri, bank nyingi zita athirika na huo uamuzi wa serekali na Hilo Lita saidia benki kuwa wabunifu zaidi
 
Uchambuzi mzuri, bank nyingi zita athirika na huo uamuzi wa serekali na Hilo Lita saidia benki kuwa wabunifu zaidi
serikali pia lazima iwe makini na bank mama za hii nchi..NMB na CRDB zikifa uchumi wa nchi utashake pia,imagine transaction za NMB na CRDB kwa siku moja ni sh ngapi ,mwisho wa mwezi ndio inakuwa hatari zaidi.
 
PIA UNGEONGEZEA KUWA KIMEI ANATUMIA MEDIA KUFICHA ISSUE KAMA MZEE WA NSSF SASA WATU WENGI HAPA WANAWEZA PINGA ULIO ANDIKA KWA VILE JAMAA AMEFUNIAKA UKWELI KWA NGUVU ZOTE. YANI JANGA KUBWA HILI...
 
kama kumbukumbu zangu ziko sawa magufuli alisema aliambiwa na kimei kuhusu pesa nyingi serikali kuwa kwny commercial banks
.

Usije ukaingia kwenye biashara na uwekezaji na mawazo kuwa kuna faida tu. jua pia kuwa hasara ni sehemu ya biashara na ukweli investing is risky. lakini pia kuna mtaalamu mmoja aliandika kuwa what is risk in investing is not the investment but the investor him/her self. akimanisha kitu hatari katika uwekezaji sio hicho kitegauchumi au uwekezaji wenyewe bali ni yeye mwekezaji. hapa alimaanisha kuwa mwekezaji asiye na ujuzi ni hatari zaidi kuliko uwekezaji wenyewe. kwani ni hatari sana kuwekeza katika kitegauchumi usichokijua. hivyo alitoa ushari kwa wawekezaji watafute ujuzi au maalifa kwanza kabla ya kuwekeza. Pia hakikisha unajua kila kitu kinachohusu hiyo biashara kabla ya kuingiza pesa zako katika huo mradi au kitegauchumi, yaani ujue hiyo biashara ya banki (mfano CRDB) inavyofanywa, mazingira yake, hatari zake na mafanikio na mwelekeo wake kwa wakati ulipita, sasa na ujao. Pia kanuni za kununua hisa zinasema kuwa kama unataka kununua fanya hivyo zinaposhuka na uza zinapopanda. hivyo kama zitashuka utanunua wakati huo kwa bei rahisi na kwa uhakika zitapanda tu baadae kama kweli hiyo biashara inaendeshwa na watu makini. nimependa mjadala hapo juu kwani wengi wameanza kujadili kuhusu hiyo biashara. Lakini sijamwona aliye jadili jinsi hiyo biashara inavyo fanywa hapa Tz. Ushauri wangu kwa anayetaka kununua hisa asome vitabu vinavyo elezea biashara hiyo, pia atafute washauri wanaifanya hiyo biashara na siyo wasomi wataokupa theories tu na wao hawafanyi hiyo biashara, kumbuka theories and practice are two different things.. pia avisome viatabu vya hiyo bank na iajue jinsi inavyo fanya biashara (yaani asome financial statement zake za kama miaka 5). kijumla mtu asiingize kichwa kichwa kwenye biashara yoyote hata kama vya kununua viwanja au ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…