Nimeona tangazo la kuuzwa hisa za crdb. Kilichonishitua ni bei ya hisa hizo. Nakumbuka hisa za crdb mwanzoni ziliuzwa bei kubwa (sikumbuki bei lakini ilikuwa zaidi ya 1000/ hivi) lakini hii bei ya leo ( Tsh 150/ kwa hisa moja) inaacha maswali mengi kichwani. Kwa wanaojua nini kinaendelea nyuma ya pazia tujulisheni mapema.
Usijali mkubwa huu ndio mkabala wa DECI.
Naona wamegundua kwamba watanzania wanahela sana hasa dau likiwa dogo.
nasikia kwenye pamba jamaa walitumbukiza zaidi ya 50bn! pagumu hapo.Also take note that CRDB Bank has been hit by ongoing global downturn, as most of its money borrowed by traders in cotton and similar crops could not be paid back as a result of the crisis biting the crops at the world market.
Halafu nauliza: ni kwa nini benki kubwa hivi Tz hawana tawi Visiwani? NBC na NMB yapo matawi Pemba na Unguja!
Hivi watafungua tawi lini Visiwani?
Jamani tuwe makini with our recent obssesion with these IPO's...tuwe makini..kuna watu wanasafisha hela sana kutumia hizi vitu...pigeni due dilligence ya crdb before buying anything!!
Jamani tuwe makini with our recent obssesion with these IPO's...tuwe makini..kuna watu wanasafisha hela sana kutumia hizi vitu...pigeni due dilligence ya crdb before buying anything!!
The thing is, most Tanzanians are naive
stimulus package ya mkuluu inawalipaa....nasikia kwenye pamba jamaa walitumbukiza zaidi ya 50bn! pagumu hapo.
Hisa za NMB zimeshuka hadi kufikia Shs 730 per share. Wakati wanaingia kwenye listing zilianza na bei ya shs 1,200 kwa muda mfupi sana, na tangu hapo zimekuwa zikishuka mpaka hapo kwenye shs 730 !, Hii si habari nzuri sana kwa wadau walionunua hisa kwa wingi hapo NMB, hasa waliokopa ili wawekeze.
Yes Carol u r right, watu wananunua bila kufanya consultation, kama hizi za CRDB hata mimi niliziacha zipite, coz nilifanya marketing intelligence mtu akanishika sikio akanambia hapo hapafai mama nikarusha kaubawa kangu, ila nilifaidika na zile za NMB coz mie ni short time investor nanunua niuze kwa faida mama watoto waende shule.Kufulia unafikiri ni kwa watu binafsi, hata mabenki yanafulia. Kabla ya kununua lazima ufanye consultation na watu wa uchumi wakuimbishe la sivyo unaingia mkenge bila kujua. Mimi zilinipita hizo hisa sikuwa na hela. Interest nazo ikafa mpaka sasa hivi sina mzuka nazo wasiniingize mjni bure.
Asante kwa aliyetoa mada, imetusaidia sana.