Hawajafanya exploration yeyote
tufanye mapenzi
Usithubutu kulamba sumu na akati una taarifa kuwa hii ni sumu.pia do you understand about how much is 1.2milion USD per day.na kufanya exploration inachukua zaidi ya miezi.kwanza kwa hisa zote zilizonunuliwa I don't think kuwa inatosha kukodi rig kwa siku 2.
Kwa kawaida utaratibu wa kuuza hisa za makampuni kwa mara ya kwanza(IPO) hutangazwa kwenye vyombo vya habari,mara zote hutoa muda wa mauzo ambao huwa ni mwezi mmoja hivi. Wakiishafunga mauzo ya awali kila aliyenunua hizo hisa anakuwa na umiliki wa sehemu ya hiyo kampuni kulingana na hisa alizolipia.Kiwango gani mtu ananunua inategemea na mtu binafsi, ni kwa kiasi gani yuko tayari kama mjasiliamali kuwekeza pesa yake pamoja na athali za kukosa ambozo zipo wakati wote katika biashara yoyote ile. Baada ya mauzo ya awali hisa za hiyo kampuni hu-orodheshwa katika soko la hisa,na hapa ndipo aliyewekeza ana uhuru wa kuendelea kuzishikilia hizo hisa kwa kungoja gawio au kuziuza kwa faida. Chukulia mfano wa swala: Hisa moja iliuzwa kwa shs 500... Kama uliamua kununua hisa 10000 maana yake(shs 500*10000=shs5000000)
Hivi sasa ziko sokoni kwa bei kati ya shs 600-700...tuchukulie kuwa unaweza kupata mnunuzi kwa sh 650@ maana
utatengeneza(shs 650*10000=shs6500000) hapa una faida ya shs 1500000 katika kipindi cha mwezi mmoja na hii
ina maana kuwa uwekezaji wako umetengeneza faida ya 30% ambayo unaweza kuiacha ikiwe ukingoje gawio tena au kuchukua pesa yako na kuachana na swala ili kuwekeza kwingine.Nafikiri Maluyaga Ikohi mtakuwa mmeelewa.

Ndugu Nalo neno,Hapo ndipo unapokuja kwenye kiini cha kufanya biashara katika soko la hisa.kumbuka anayeshikilia hisa anafahamu ni thamani gani hisa za swala katika industry ya gesi na mafuta inaweza kufika,kama ana taarifa zinazomfanya aamini kuwa thamani ya swala inaweza kupanda zaidi hadi tuseme 2000tsh kwa hisa basi hatauza hisa zake bali ataendelea kuzishikilia, labda wewe unayezitaka uweke dau la tuseme 2500 kwa hisa. Kwako wewe unayezitaka hizo hisa za swala unatakiwa uwe na taarifa muhimu za kampuni hiyo na mwelekeo wake katika hiyo industry, ukiwa na silka ya ujasiliamali basi nenda soko la hisa weka bei yako ya kununulia hisa za swala kwa mfano 800tsh kwa kila hisa, inawezekana wanaozishikilia wakavutwa na bei yako na kukuuzia kiasi walichonacho,kwa maana hiyo basi kadili watu wanavyoshindana kuweka madau bei yake inazidi kupanda.Vinginevyo wale wanaozishikilia wanaweza kuamua kupanga bei hata zaidi ya hiyo iliyoko DSE.nafikiri nimekujibu.Umeelezea vzr sana...hivi sasa hisa za swala ni 650 wanunuzi wapo wengi ikiwemo na mm....ila wauzaji mpaka sasa hakuna....kila mtu kashikilia hisa zake hawaachi
Ndugu Nalo neno,Hapo ndipo unapokuja kwenye kiini cha kufanya biashara katika soko la hisa.kumbuka anayeshikilia hisa anafahamu ni thamani gani hisa za swala katika industry ya gesi na mafuta inaweza kufika,kama ana taarifa zinazomfanya aamini kuwa thamani ya swala inaweza kupanda zaidi hadi tuseme 2000tsh kwa hisa basi hatauza hisa zake bali ataendelea kuzishikilia, labda wewe unayezitaka uweke dau la tuseme 2500 kwa hisa. Kwako wewe unayezitaka hizo hisa za swala unatakiwa uwe na taarifa muhimu za kampuni hiyo na mwelekeo wake katika hiyo industry, ukiwa na silka ya ujasiliamali basi nenda soko la hisa weka bei yako ya kununulia hisa za swala kwa mfano 800tsh kwa kila hisa, inawezekana wanaozishikilia wakavutwa na bei yako na kukuuzia kiasi walichonacho,kwa maana hiyo basi kadili watu wanavyoshindana kuweka madau bei yake inazidi kupanda.Vinginevyo wale wanaozishikilia wanaweza kuamua kupanga bei hata zaidi ya hiyo iliyoko DSE.nafikiri nimekujibu.