Hisa za Mwanza Community Bank PLC: Speculators Mnasemaje??

Soma bac prospectus yake ndio uje mkuu!
 
Uko sahihi kabisa. Ndio maana si wote tunafanya biashara, kazi au kilimo. Unachagua pale unapoona unafaa. Kweli hii ni biashara na haina guarantee just like any business. Ila kuna vitu wataalamu wanaita tathmini ya viahatarish (risk assement) ndio zinaongoza maamuzi ya kuwekeza au la. Pia faida si lazima kwenye gawiwo tu, unaweza pata faida kwenye capital gain. Check prospectus yao
 
Mie naomba kuuliza hisa zinauzwa shillingi ngapi kwa hisa moja?? Na utalatibu ukoje kwa wale tulio nje ya nchi??
Hisa moja wanauza Tsh 550/=. kuna mawasiliano yao hapo katika Thread. piga Ulizia
 
Kwa uzowefu wa DCB(Dar es Salaam Community Bank) nakushahuri jitoe tu Muanga maana naona DCB inafanya vizuri sana kwa sasa.
 
Nicol watu walizichangamkia kwa kuwa waanzilishi walikuwa wazawa wenzetu waliofanikiwa kibiashara watu wakajenga imani nao, lkn kilichotokea kilikatisha tamaa kiukweli

Halafu ndo hao hao wanaolilia vitalu vya gesi ili watajirike zaidi tehetehetehetehetehe!
 
Halafu ndo hao hao wanaolilia vitalu vya gesi ili watajirike zaidi tehetehetehetehetehe!
Kaka tangu lile jarida linaloorodhesha watu matajiri zaidi (FORBES) liingie hapa nchini kwetu naona matajiri wetu hapa bongo hawalali ili wasije kuabika. watakuja semwa Wamefulia. wabongo kwa makavu live!!!!
 
Hahahahahahahahahah, umena mkuu? Jamaa wanahangaika ile mbaya hata pale wasipokuwa na uwezo napo, lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…