Mwenye hisa za NMB anayeuza ani PM!! Nina haja nazo
angalia kama walikuwa wanatoa dividends maana wakiwa wanatoa bei hupanda wakishatoa bei inashuka ,baada ya hapo hupanda tenaHabari wana JF.
Nilikua naangalia trend ya bei za hisa hapa soko la DSE nikaona za NMB zimeshuka kutoka 4300 hadi mwezi huu ni 3500.
Je, benki inafanya vibaya au ni nini, Pia ningependa kujua timing nzuri ya kununua hisa ni kipindi gani cha mwaka.
Natanguliza shukrani!