Hisa za NMB zimeshuka kwa 50% ndani ya miezi 12

mkuu una hisa kiasi gan CRDB?
 
sure, walifanya hivyo wakati swala inaingia sokoni. raha ya soko la hisa uwe na pesa nyingi, na info za kutosha
information (insider) is cumbersome to get it, otherwise someone in mgt to tips you off( strong efficiency, semi strong and weak efficiency there are three types of markets efficiency) in our case here am taking about strong market efficiency
 
Ni kweli mkuu, hata mimi ni mhanga wa NICO, hata kwa kuwatafutia hapako
 
Ninashauri wadau wa jf na kama wapo wstu wa nmb pia watembelee Benji mpya ya Kenya inayoitwa equity kisha waende CRDD walinganishe utendaji wao na Huduma kwa Wateja. Moja kati ya udhaifu mkubwa iliyoonyesha nmb nikupoteza baadhi ya Wateja wao kizembe( watumishi wa serikali) waliohamia equity na CRDB wafanye tathmini kujua ni nini chanzo. Unapotezaje mkopaji anayepitisha mshahara kwako na mkopo wake una hakika ya marejesho100% kila mwisho wa mwezi? na dhamana ya mkopo huo ni mwajiri wa mkopaji? Mengine taasisi zetu zinajitakia na kutafuta wa kumrushia lawama. Biashara yeyote ili ishamiri inategemea ubavu na mbinu za mhusika kukabili soko.
 
hapa umenena mkuu, moja kati ya matatizo makubwa kwenye taasisu zetu ni inefficiency
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…