Utak JF-Expert Member Joined Jul 1, 2025 Posts 1,330 Reaction score 5,468 Oct 27, 2026 #21 Kushikilia uwekezaji wako (Hold) mara nyingi ndiyo mkakati salama zaidi kwenye soko la hisa unapowekeza kwenye kampuni kubwa kama NMB.
Kushikilia uwekezaji wako (Hold) mara nyingi ndiyo mkakati salama zaidi kwenye soko la hisa unapowekeza kwenye kampuni kubwa kama NMB.
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 16,074 Reaction score 27,490 Oct 27, 2026 #22 Jaji Mfawidhi said: SAwaCFE, tunaendelea kujifunza na kutorudia kosa, sasa je niuze maana zinazidi kuporomoka? Click to expand... Mimi sio CFE
Jaji Mfawidhi said: SAwaCFE, tunaendelea kujifunza na kutorudia kosa, sasa je niuze maana zinazidi kuporomoka? Click to expand... Mimi sio CFE
Southern Highland JF-Expert Member Joined Mar 22, 2017 Posts 16,074 Reaction score 27,490 Oct 27, 2026 #23 Shytown said: HUJAJIBU SWALI LA MTOA MADA AU NISEME UMEJIBU SWALI AMBALO HUJAULIZWA.... Click to expand... Gen Z mnapenda majibu ya moja kwa moja ndio au hapana mnakua wagumu sana kufikiri mkiona maandishi mengi. Kwenye comment yangu kuna jibu tafakari.
Shytown said: HUJAJIBU SWALI LA MTOA MADA AU NISEME UMEJIBU SWALI AMBALO HUJAULIZWA.... Click to expand... Gen Z mnapenda majibu ya moja kwa moja ndio au hapana mnakua wagumu sana kufikiri mkiona maandishi mengi. Kwenye comment yangu kuna jibu tafakari.