Hisa za Vodacom Tanzania, imegeuka kuwa kitendawili kwa Tanzania

stickvibration

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2017
Posts
3,226
Reaction score
5,147
Hisa za Vodacom ....Vodacom yashindwa kufikia nusu ya lengo la mauzo ya hisa, kuomba iwauzie wasio watanzania..

Nani mwekezaji kutoka nje atataka kuleta fedha zake kuwekeza kwa nchi inayoongozwa na mwendawazimu??

Na bado wanalazimisha eti makampuni ya simu na makampuni makubwa ya madini wa "list Dar es salaam stock exchange" kwa fedha zipi? ...Kampuni moja tu imeshindikana, Sasa na hizo zingine?
 
Hisa zimekua kama Kamali nilinunua za CRDB mwaka 2014 Kwa 5000shares@sh.400 Taangu hapo hisa za CRDB zimekua zikishishuka tuu mwaka 2015 nikapata Gawio la sh.15/share so 5000shares@sh.15 nikajipatia Tsh 75,000 kwa Mwaka Fikiria Unawekeza 2,000,000 ili upate 75,000 kwa mwaka ni Utahira nikaziuza kwa Bei ya Hasara.

Hisa ni Upuuzi Flani hivi inaweza kutoka kwenye IPO zika trade kwa sh. 50 au Sh. 30

Hisa ni Kwa watu wenye mitaji Mikubwa na hawana pa Kuweka Pesa zao I am sure Mtu aliyewekeza Sh. 800,000,000 atafadika kwa Sababu atakua na 2,000,000@sh 15 atapata dividend ya 30,000,000 kwa Mwaka

Lakini bado ni Utoto hiyo Sh. 800,000,000 iweke kwenye Fixed Diposit ambazo nyingi zinatoa Riba hadi ya 12% so Tsh 800,000,000×12% =96,000,000 So utavuna Sh. 96,000,000 kwa mwaka tofauti na kwenye hisa

Mda huu naangalia Hisa za CRDB ni Tsh. 185/Kwa hisa je Utauza hisa ulizonunua kwa sh. 400? Kwa 185 Usiume meno kama unapesa kama 5,000,000 Anzisha biashara hata za Saluni Kubwa ya Kike na Kiume Utapata Faida Kubwa sana kuliko hisa.

Tazama Majedwali haya Bei ya Hisa Kwa Baadhi ya Kampuni Mwaka 2014
IMG_20170420_093547_958.JPG

Bei ya Hisa Leo 20, April 2017 Naona ACCASIA imefanya Vizuri mwaka 2014 hisa zake ziliuzwa kwa 6810 bei ya December Leo tarehe 20/4/2017 zinauzwa 13030 ime double kwa hiyo ni Profitable

Kuna KAMPUNI ya Bima ya Kenya ile ya Jubilee Holdings Ltd Nayo imefanya Vizuri Mwaka 2014 ilikua Tsh. 8510 Leo JHL= sh.10330

Tanzania Breweries Ltd (TBL) imedondokea Pua Bei ya hisa yake December 2014 ilikua ni 14,090 Leo hii TBL=12,000

Kwa Ufafanuzi huo wa baadhi ya Kampuni unajua kumbe Kampuni za Nje zimefanya Vizuri kuliko za Ndani mfano hiyo Accassia ambayo ipo pia katika London Stock Exchange (LSE) pia tumeona Jubilee Holding Ltd ambayo ipo pia katika Nairobi Stock Exchange (NSE) imefanya Vizuri Kampuni za Tanzania Nyingi zimezingua pamoja na TTC hisa zake ziliuzwa kwa 16,740 mwaka 2014 Leo kwenye Jedwali hapa inaonesha zinauzwa kwa 11,500.

Jedwali La Bei za Hisa Leo 20/4/2017.
IMG_20170420_094408_625.JPG
 
Hisa zimekua kama Kamali nilinunua za CRDB mwaka 2014 Kwa 5000shares@sh.400 Taangu hapo hisa za CRDB zimekua zikishishuka tuu mwaka 2015 nikapata Gawio la sh.15/share so 5000shares@sh.15 nikajipatia Tsh 75,000 kwa Mwaka Fikiria Unawekeza 2,000,000 ili upate 75,000 kwa mwaka ni Utahira nikaziuza kwa Bei ya Hasara.

Hisa ni Upuuzi Flani hivi inaweza kutoka kwenye IPO zika trade kwa sh. 50 au Sh. 30

Hisa ni Kwa watu wenye mitaji Mikubwa na hawana pa Kuweka Pesa zao I am sure Mtu aliyewekeza Sh. 800,000,000 atafadika kwa Sababu atakua na 2,000,000@sh 15 atapata dividend ya 30,000,000 kwa Mwaka

Lakini bado ni Utoto hiyo Sh. 800,000,000 iweke kwenye Fixed Diposit ambazo nyingi zinatoa Riba hadi ya 12% so Tsh 800,000,000×12% =96,000,000 So utavuna Sh. 96,000,000 kwa mwaka tofauti na kwenye hisa
Ila mkuu gawio si linagawiwa kulingana na idadi ya hisa ulizo nunua..mfano mtu aliye nunua hisa 5000. na aliye nunua his 10000 watapata ratio sawa ya gawio???
 
Yeah Gawio kwa hisa moja ni Sawa Mfano sisi mwaka 2015 (CRDB) tulipata Gawio la Tsh 15 hii ni kwa wote. So kama Mimi nilikua na Hisa 5000×15=75,000
Na wewe mwenye Hisa 10000×15= 150,000
Kigogo mwenye Hisa 3,000,000×15= 45,000,000
 
Hisa zimekua kama Kamali nilinunua za CRDB mwaka 2014 Kwa 5000shares@sh.400 Taangu hapo hisa za CRDB zimekua zikishishuka tuu mwaka 2015 nikapata Gawio la sh.15/share so 5000shares@sh.15 nikajipatia Tsh 75,000 kwa Mwaka Fikiria Unawekeza 2,000,000 ili upate 75,000 kwa mwaka ni Utahira nikaziuza kwa Bei ya Hasara.

Hisa ni Upuuzi Flani hivi inaweza kutoka kwenye IPO zika trade kwa sh. 50 au Sh. 30

Hisa ni Kwa watu wenye mitaji Mikubwa na hawana pa Kuweka Pesa zao I am sure Mtu aliyewekeza Sh. 800,000,000 atafadika kwa Sababu atakua na 2,000,000@sh 15 atapata dividend ya 30,000,000 kwa Mwaka

Lakini bado ni Utoto hiyo Sh. 800,000,000 iweke kwenye Fixed Diposit ambazo nyingi zinatoa Riba hadi ya 12% so Tsh 800,000,000×12% =96,000,000 So utavuna Sh. 96,000,000 kwa mwaka tofauti na kwenye hisa

Mda huu naangalia Hisa za CRDB ni Tsh. 185/Kwa hisa je Utauza hisa ulizonunua kwa sh. 400? Kwa 185 Usiume meno kama unapesa kama 5,000,000 Anzisha biashara hata za Saluni Kubwa ya Kike na Kiume Utapata Faida Kubwa sana kuliko hisa.
Ahsnt bro, mm cna mshauri wa kiuchumi km wanavyotushauri ila kw elimu hz napata kitu
 
Katika elimu ya fedha wanavyofanya matajiri anaweka pesa katika HISA, alafu anatumia kama dhamana ya mkopo, anaenda bank [emoji542] anachukua mkopo kwa ajili ya biashara na sio kujenga nyumba ya kuishi au Gari la kutembea. Anachukua biashara ambayo inalipa kwa iyo anasikilizia uku na uko ikiitika kote kote anakuwa amewini kote kote. Ndio maana watu wengi wanashindwa kununua Hisa. Usitegemee pesa za HISA kwa ajili ya hapo hapo ya chakula utaumia kichwa
 
Braza ulipata hasara kwasabab hujui timing za soko la hisa, kwenye hisa sio unanunua tu unatakiwa ujiulize kama ni wakati sahihi kununua... Sasa mimi nilinunua hisa hizohizo za crdb zikiwa 295 kwa kila hisa nikaja kuuza zikiwa 400 kwa kila hisa.... Mbona mimi nilipata faida kwa hisa hizohizo za crdb ambazo wewe unalalamika zimekutia hasara... Na sasa hivi nimenunua tena hizohizo za crdb zikiwa 185 siuzi mpaka zifike 300 per share of which am sure zitafika tu coz currently market inaziundervalue kwasabab watu hawana hela wanauzauza hovyo tu... Hisa ni zaidi ya kuuza na kununua kaka mkuu... Lazima pia ujue timing
 
Nakushauri kama Una Pesa Za ziada nunua hisa za TBL,

Kijana Niko Vizuri sana je wewe Uliyemuuzia kwa 400 si Na yeye ali forecast kuwa baada ya Mda Fulani zitakua juu sasa Taangu 2014 Decemba hadi Leo Hisa za CRDB zimetoka kutoka sh. 400 Leo tarehe 20/04/2017 zinauzwa kwa sh. 185
 
Kampuni ya Vodacom ina waya waya, kiasi cha kuchelewesha mishahara wafabyakazi wake.. sasa habari ya Hisa za voda ni kujitia umasikini..
 
Mh! sasa tulionunua matumbo joto!!!!! zikipanda tu nauza zote hata km itakuwa faida ni 50 kwa hisa moja.
Mkuu nashauri kama Una kiasi Kidogo Cha fedha pambana hata Kuanzisha Mgahawa/Migahawa Itakulipa hapa Mjini Kuliko na Kwenda Kuwekeza Kwenye Hisa Mi naona Ni Kamali halafu Pesa yako haikupi Faida hara mfano Mwaka 2014 TBL walikua wanauza Hisa Kwa Tsh. 8560 let say una 2,000,000 Utapata Hisa 233 Gawio lilikua ni Tsh. 180/share so 233×180= 41, 960

Yaani Umewekeza Kwenye Hisa bahati mbaya hazipanda Bei mwishoni Mwa mwaka unapata 41,960. Umeona Pesa kiduchu hata Banda La Chips ulilowekeza kwa Laki 3 litakuletea Faida Kubwa kwa Mwaka kuliko 41,960 ya Gawio

Hisa ni kwa watu wenye Mkwanja mrefu ndugu wanaoshindwa pa Kuziweka.
 
Katika elimu ya fedha wanavyofanya matajiri anaweka pesa katika HISA, alafu anatumia kama dhamana ya mkopo, anaenda bank [emoji542] anachukua mkopo kwa ajili ya biashara na sio kujenga nyumba ya kuishi au Gari la kutembea. Anachukua biashara ambayo inalipa kwa iyo anasikilizia uku na uko ikiitika kote kote anakuwa amewini kote kote. Ndio maana watu wengi wanashindwa kununua Hisa. Usitegemee pesa za HISA kwa ajili ya hapo hapo ya chakula utaumia kichwa
Mkuu Yaani Una Tsh.50,000,000 unaenda Unanunua Hisa Ili Bank Ikukope Tsh.40,000,000 na Unajua

Loan Repayment = Loan + Interest
Marejesho = Mkopo +Riba

Loan Tsh. 40,000,000
Riba Bank nyingi: 22%
40,000,000 × 22% = 8,880,000
So Utapata ili Kulipa Bank Mkopo Wao
Marejesho= 8,880,000 + 40,000,000
Utalipa Tshs. 48,880,000. Kwanini Wewe Usikopeshe Hiyo Tsh 50,000,000 kwa Riba ya 20% tuu kwa wenye Uhitaji ili Upate Tshs. 60,000,000 ikwemo ndani Interest Income ya 10,000,000.

Mkuu Fikiri kabla ya Kuandika.
 
Back
Top Bottom