Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
So Kila Mwekezaji atanunua Hisa katika IPO tuu?Topic si vodacom's primary market?
Sokoni muda mrefu ndio 2014? Vipi kwa mimi nilienunuliwa hisa 4000 za NMB kwa 800 mwaka 2008 (kama sikosei) leo zinauzwa 2750 unaniambiaje?
Hisa mkuu zina pande mbili kama unataka zikupe faida,pande ya bei ya hisa zenyewe na pande ya dividend. Na wewe sababu nahisi ni myopia unaangalia bei ya share ikishuka tu baaaasi waona ushaliwa.Bei inashuka na watu wanaendelea kuingiza dividends mwaka hadi mwaka mkuu Troll JF
Hata Hivyo Still Pesa Ndogo Yaani Uliwekeza 3, 200,000 Mwaka 2008 hadi Kuna Miaka 9 Mimi Mtu wa Biashara najali sana Time katika Project yeyote Mimi na discourage Biashara ya Hisa kwa wenye Mitaji ya Kuanzia Million 1-50 fanyeni Mambo mengine Vipi kama Mwaka 2008 ungekua
Umeamua Kuwa Nina Tsh.3, 200,000 ngoja Nitafute wakina Mama 32 niwakopeshe Tsh. 100,000 waaminifu niwakopeshe Kwa Riba ya 20%
watakua wanalipa kwa Wiki 8.
Kwa hiyo Itakua 100,000 × 20% = Tsh 20,000 kwa miezi 2 au wiki Nane inamaana kwa kwa Mwaka itakua 72,000 kwa Mmoja sasa
72,000 × 32 = Tsh. 2,304,000 Kwa Mwaka
Chukua 2,304,000×miaka 9 = 20,736,000-3,200,000
Unapata 18,536,000 kwa miaka 9 wakati
Hisa Umewekeza kwa Miaka 9 umepata Revenue ya 11,000,000-3,200,000 = Profit 7,800,000