stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
ww ndio mwendawazimu unaelalamika
Ila mkuu gawio si linagawiwa kulingana na idadi ya hisa ulizo nunua..mfano mtu aliye nunua hisa 5000. na aliye nunua his 10000 watapata ratio sawa ya gawio???Hisa zimekua kama Kamali nilinunua za CRDB mwaka 2014 Kwa 5000shares@sh.400 Taangu hapo hisa za CRDB zimekua zikishishuka tuu mwaka 2015 nikapata Gawio la sh.15/share so 5000shares@sh.15 nikajipatia Tsh 75,000 kwa Mwaka Fikiria Unawekeza 2,000,000 ili upate 75,000 kwa mwaka ni Utahira nikaziuza kwa Bei ya Hasara.
Hisa ni Upuuzi Flani hivi inaweza kutoka kwenye IPO zika trade kwa sh. 50 au Sh. 30
Hisa ni Kwa watu wenye mitaji Mikubwa na hawana pa Kuweka Pesa zao I am sure Mtu aliyewekeza Sh. 800,000,000 atafadika kwa Sababu atakua na 2,000,000@sh 15 atapata dividend ya 30,000,000 kwa Mwaka
Lakini bado ni Utoto hiyo Sh. 800,000,000 iweke kwenye Fixed Diposit ambazo nyingi zinatoa Riba hadi ya 12% so Tsh 800,000,000×12% =96,000,000 So utavuna Sh. 96,000,000 kwa mwaka tofauti na kwenye hisa
Yeah Gawio kwa hisa moja ni Sawa Mfano sisi mwaka 2015 (CRDB) tulipata Gawio la Tsh 15 hii ni kwa wote. So kama Mimi nilikua na Hisa 5000×15=75,000Ila mkuu gawio si linagawiwa kulingana na idadi ya hisa ulizo nunua..mfano mtu aliye nunua hisa 5000. na aliye nunua his 10000 watapata ratio sawa ya gawio???
Ahsnt bro, mm cna mshauri wa kiuchumi km wanavyotushauri ila kw elimu hz napata kituHisa zimekua kama Kamali nilinunua za CRDB mwaka 2014 Kwa 5000shares@sh.400 Taangu hapo hisa za CRDB zimekua zikishishuka tuu mwaka 2015 nikapata Gawio la sh.15/share so 5000shares@sh.15 nikajipatia Tsh 75,000 kwa Mwaka Fikiria Unawekeza 2,000,000 ili upate 75,000 kwa mwaka ni Utahira nikaziuza kwa Bei ya Hasara.
Hisa ni Upuuzi Flani hivi inaweza kutoka kwenye IPO zika trade kwa sh. 50 au Sh. 30
Hisa ni Kwa watu wenye mitaji Mikubwa na hawana pa Kuweka Pesa zao I am sure Mtu aliyewekeza Sh. 800,000,000 atafadika kwa Sababu atakua na 2,000,000@sh 15 atapata dividend ya 30,000,000 kwa Mwaka
Lakini bado ni Utoto hiyo Sh. 800,000,000 iweke kwenye Fixed Diposit ambazo nyingi zinatoa Riba hadi ya 12% so Tsh 800,000,000×12% =96,000,000 So utavuna Sh. 96,000,000 kwa mwaka tofauti na kwenye hisa
Mda huu naangalia Hisa za CRDB ni Tsh. 185/Kwa hisa je Utauza hisa ulizonunua kwa sh. 400? Kwa 185 Usiume meno kama unapesa kama 5,000,000 Anzisha biashara hata za Saluni Kubwa ya Kike na Kiume Utapata Faida Kubwa sana kuliko hisa.
Katika elimu ya fedha wanavyofanya matajiri anaweka pesa katika HISA, alafu anatumia kama dhamana ya mkopo, anaenda bank [emoji542] anachukua mkopo kwa ajili ya biashara na sio kujenga nyumba ya kuishi au Gari la kutembea. Anachukua biashara ambayo inalipa kwa iyo anasikilizia uku na uko ikiitika kote kote anakuwa amewini kote kote. Ndio maana watu wengi wanashindwa kununua Hisa. Usitegemee pesa za HISA kwa ajili ya hapo hapo ya chakula utaumia kichwaYeah Gawio kwa hisa moja ni Sawa Mfano sisi mwaka 2015 (CRDB) tulipata Gawio la Tsh 15 hii ni kwa wote. So kama Mimi nilikua na Hisa 5000×15=75,000
Na wewe mwenye Hisa 10000×15= 150,000
Kigogo mwenye Hisa 3,000,000×15= 45,000,000
Braza ulipata hasara kwasabab hujui timing za soko la hisa, kwenye hisa sio unanunua tu unatakiwa ujiulize kama ni wakati sahihi kununua... Sasa mimi nilinunua hisa hizohizo za crdb zikiwa 295 kwa kila hisa nikaja kuuza zikiwa 400 kwa kila hisa.... Mbona mimi nilipata faida kwa hisa hizohizo za crdb ambazo wewe unalalamika zimekutia hasara... Na sasa hivi nimenunua tena hizohizo za crdb zikiwa 185 siuzi mpaka zifike 300 per share of which am sure zitafika tu coz currently market inaziundervalue kwasabab watu hawana hela wanauzauza hovyo tu... Hisa ni zaidi ya kuuza na kununua kaka mkuu... Lazima pia ujue timingHisa zimekua kama Kamali nilinunua za CRDB mwaka 2014 Kwa 5000shares@sh.400 Taangu hapo hisa za CRDB zimekua zikishishuka tuu mwaka 2015 nikapata Gawio la sh.15/share so 5000shares@sh.15 nikajipatia Tsh 75,000 kwa Mwaka Fikiria Unawekeza 2,000,000 ili upate 75,000 kwa mwaka ni Utahira nikaziuza kwa Bei ya Hasara.
Hisa ni Upuuzi Flani hivi inaweza kutoka kwenye IPO zika trade kwa sh. 50 au Sh. 30
Hisa ni Kwa watu wenye mitaji Mikubwa na hawana pa Kuweka Pesa zao I am sure Mtu aliyewekeza Sh. 800,000,000 atafadika kwa Sababu atakua na 2,000,000@sh 15 atapata dividend ya 30,000,000 kwa Mwaka
Lakini bado ni Utoto hiyo Sh. 800,000,000 iweke kwenye Fixed Diposit ambazo nyingi zinatoa Riba hadi ya 12% so Tsh 800,000,000×12% =96,000,000 So utavuna Sh. 96,000,000 kwa mwaka tofauti na kwenye hisa
Mda huu naangalia Hisa za CRDB ni Tsh. 185/Kwa hisa je Utauza hisa ulizonunua kwa sh. 400? Kwa 185 Usiume meno kama unapesa kama 5,000,000 Anzisha biashara hata za Saluni Kubwa ya Kike na Kiume Utapata Faida Kubwa sana kuliko hisa.
Nakushauri kama Una Pesa Za ziada nunua hisa za TBL,Ahsnt bro, mm cna mshauri wa kiuchumi km wanavyotushauri ila kw elimu hz napata kitu
Kijana Niko Vizuri sana je wewe Uliyemuuzia kwa 400 si Na yeye ali forecast kuwa baada ya Mda Fulani zitakua juu sasa Taangu 2014 Decemba hadi Leo Hisa za CRDB zimetoka kutoka sh. 400 Leo tarehe 20/04/2017 zinauzwa kwa sh. 185Braza ulipata hasara kwasabab hujui timing za soko la hisa, kwenye hisa sio unanunua tu unatakiwa ujiulize kama ni wakati sahihi kununua... Sasa mimi nilinunua hisa hizohizo za crdb zikiwa 295 kwa kila hisa nikaja kuuza zikiwa 400 kwa kila hisa.... Mbona mimi nilipata faida kwa hisa hizohizo za crdb ambazo wewe unalalamika zimekutia hasara... Na sasa hivi nimenunua tena hizohizo za crdb zikiwa 185 siuzi mpaka zifike 300 per share of which am sure zitafika tu coz currently market inaziundervalue kwasabab watu hawana hela wanauzauza hovyo tu... Hisa ni zaidi ya kuuza na kununua kaka mkuu... Lazima pia ujue timing
Usibabaike na maneno ya watz waoga mkuu, mtanzania wa leo kila kitu anadoubt hata akiokota dhahabu anaweza akaitupa akasema mtu hawezi kudondosha dhahabu kizembe hiviMh! sasa tulionunua matumbo joto!!!!! zikipanda tu nauza zote hata km itakuwa faida ni 50 kwa hisa moja.
Mkuu kama Hujaelewa Hapo juu nilivyofafanua kwa Kuweka Jedwali basi kaa kimyaaUsibabaike na maneno ya watz waoga mkuu, mtanzania wa leo kila kitu anadoubt hata akiokota dhahabu anaweza akaitupa akasema mtu hawezi kudondosha dhahabu kizembe hivi
Mkuu nashauri kama Una kiasi Kidogo Cha fedha pambana hata Kuanzisha Mgahawa/Migahawa Itakulipa hapa Mjini Kuliko na Kwenda Kuwekeza Kwenye Hisa Mi naona Ni Kamali halafu Pesa yako haikupi Faida hara mfano Mwaka 2014 TBL walikua wanauza Hisa Kwa Tsh. 8560 let say una 2,000,000 Utapata Hisa 233 Gawio lilikua ni Tsh. 180/share so 233×180= 41, 960Mh! sasa tulionunua matumbo joto!!!!! zikipanda tu nauza zote hata km itakuwa faida ni 50 kwa hisa moja.
Mkuu Yaani Una Tsh.50,000,000 unaenda Unanunua Hisa Ili Bank Ikukope Tsh.40,000,000 na UnajuaKatika elimu ya fedha wanavyofanya matajiri anaweka pesa katika HISA, alafu anatumia kama dhamana ya mkopo, anaenda bank [emoji542] anachukua mkopo kwa ajili ya biashara na sio kujenga nyumba ya kuishi au Gari la kutembea. Anachukua biashara ambayo inalipa kwa iyo anasikilizia uku na uko ikiitika kote kote anakuwa amewini kote kote. Ndio maana watu wengi wanashindwa kununua Hisa. Usitegemee pesa za HISA kwa ajili ya hapo hapo ya chakula utaumia kichwa