Hisa za Vodacom Tanzania, imegeuka kuwa kitendawili kwa Tanzania

Kampuni ya Vodacom ina waya waya, kiasi cha kuchelewesha mishahara wafabyakazi wake.. sasa habari ya Hisa za voda ni kujitia umasikini..
Kwa taarifa kama hii ndio utaelewa kwa nn wanauza hizo hisa zao .Hapo utaona kwamba kuna watu walikua wanamiliki his a nyingi ila wanaanza kuingia woga kwamba biashara inayumba ndio wanaanza kuzungumzia kukusanya mitaji toka kwetu mwisho Wa Siku wanachukua fedha halafu kampuni inakufa wao watafungua nyingine.

Labda niulize kuna mechanism gani kibiashara ya kulinda mitaji yetu maana haitakiwi uwekeze kwenye hasara Bali kwenye faida.

Hata kama utafanya tyming ila unahitaji pia isiwaumize wengine unaowauzia.
 
Mkuu nikitaka kuuza wanalipa ndani ya muda gani??

Inategemea na vitu hivi:
- Demand ya hisa unazouza - kama wanunuzi ni wengi unaweza kuziuza hata siku hiyo hiyo
- Bei ambayo uko tayari kuziuza hisa zako. Mfano kama wewe unataka 900/- kwa kila hisa ila wanunuzi wanataka kwa 850/-, stockbroker atakujulisha. Hapo inabidi uamue aidha uuze kwa 850/- au usubiri mnunuzi atakayekuwa tayari kununua kwa 900/-
Hawa ma-stockbroker wana dalalisha hisa.

Kwa hiyo muda wa kulipwa inategemea 'how fast hisa zako zitauzwa'
 
Mkuu hisa si Mitumba
Kama Bei ya Sasa ni 900 Utauza hiyo hiyo sheria haziruhusu Muuzaji na Dalali Kuuza Hisa Bila Kufuata Bei ya Ushindani.
 
Usibabaike na maneno ya watz waoga mkuu, mtanzania wa leo kila kitu anadoubt hata akiokota dhahabu anaweza akaitupa akasema mtu hawezi kudondosha dhahabu kizembe hivi
Numbers do not lie...naomba uongee mathematically utaeleweka vzr kuliko kutumia hisia
 
Mkuu nahisi nimekuelewa
 
Acha mkuu kuongea vitu bila kua na taarifa,wanauza hivi ni hitaji la kisheria ,na makampuni mengine yatafuata.si kwenye mawasiliano tu ni kwenye madini na gesi pia yaja 25% lazima wazawa wamiliki.
 
Asante mkuu kwa elimu murua kabisa!!
 
Subiria wakiruhusu.. Weka akiba ya maneno....Mwendawa zimu babako mzazi aliyeshindwa kukujenga ukawa unajiamini katika kujenga hoja..
 
Acha mkuu kuongea vitu bila kua na taarifa,wanauza hivi ni hitaji la kisheria ,na makampuni mengine yatafuata.si kwenye mawasiliano tu ni kwenye madini na gesi pia yaja 25% lazima wazawa wamiliki.
hao ni wabongo mkuu inabidi uwazoee. Mabingwa wa kuropoka hata kama vichwa havina kituuu watajifanya wanajua mkuu.. Wasamehe tuu
 
Unajua Hisa za Swala zina traded kwa Tsh 500/share?
bei za hisa zinapanda na kushuka kifupi ni ujue lini ununue na lini uuze, wapi ununue na wapi uuze, wanaojua soko walinunu hisa za swala bei ikiwa mia tano kwenye IPO na kuuza kwenue secondary market kwa 2000, waliokosea timing ni walionunua 2000 na kukaa nazo mpaka zikarudi tena 500, na sababu imeshuka ni kuwa kampuni ya swala ilichukua mtaji/kuuza hisa ili kwenda kufanya utafiti kwahiyo kwasasa hakuna dividend , ila kuna wajanja wanafuatilia kwa karibu tu wakisikia swala siku wamepata gesi wataenda kununua tena kwa 500 na watakuja kuuza kwa 10,000/- . Kujua soko la hisa linavyokwenda ni muhimu sana kabla hujanunua hisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…