Hisa zinauzwa

Hisa zinauzwa

kalambo two

Senior Member
Joined
Sep 25, 2015
Posts
124
Reaction score
17
Nahitaji mtu ayetaka kununua hisa ktk mradi wa zahanati

Kwa maongezi zaidi nipm ktk 0765777912
 
Nahitaji mtu ayetaka kununua hisa ktk mradi wa zahanati

Kwa maongezi zaidi nipm ktk 0765777912
Aisee hii ni too short haitoshi kumconvince investor akufate inbox.. Dadavua vya kutosha mkuu, hapo bado sana kwakweli
 
Hisa ziko ngapi na kila moja shs ngapi? Unauza hisa ngapi? Au unauza zote? Zimesajiliwa wapi? Unazo audited financial statement?
 
You have to convice investors.
That's too general.
 
Back
Top Bottom